16/06/2025
Mdada mwenye Fangasi wanaosababisha harufu mbaya ukeni, utafanya hivi;
Chukua punje sita hadi kumi za vitunguu saumu, utamenya na kuzimeza nzima nzima moja baada ya nyingine bila kutafuna, huku ukisukumiza na maji au maziwa mtindi
Fanya hivyo kila siku asubuhi na usiku, ni njia nyepesi sana ya kuongeza kinga ya mwili na kuzuia kasi ya maambukizi ya fangasi (P.I.D na U.T.I sugu)
Ili ufanikiwe kuondosha matatizo haya ya fangasi, pamoja na kutumia dawa zako, nakushauri kuwa msafi wa nguo za ndani zilizokauka, kutokaa na pedi kwa muda mrefu, usioshe sehemu za ndani za uke kwa kutumia sabuni au kutia manukato kwa sababu huenda kuharibu pH ya uke na kuua bakteria wazuri wanaolinda uke.
Punguza matumizi ya sukari na vyakula vya kukobolewa, k**a una ndoa basi zungumza na mumeo ajilinde dhidi ya UTI ili kuepuka kukuambukiza pia
Fangasi huwa na tabia ya kupelekea kizazi kujaa maji, kizazi kuwa kichafu au mirija ya uzazi kuziba kwa kujaa usaha au maji machafu, ni vyema ukapendelea sana kutumia karafuu kwenye chai yako kila siku ili kusafisha kizazi chako au unaweza tumia binzari ya manjano (tumeric powder)
Chukua glass moja ya maji moto, Tia kijiko kimoja cha Manjano (Binzari ya Manjano) na ufunike mpaka maji ibakie uvuguvugu unywe
Fanya hivi mara tatu kwa siku kwa wiki moja au mbili na mirija na kizazi vitakuwa salama
Fanya kutumia manjano japo kwa wiki mara tatu kwa manufaa ya afya yako
Ukihitaji mwongozo mzima kuhusu namna ya kupambana na haya magonjwa ya fangasi, uvimbe, homoni imbalansi na mambo ya uzazi, chukua namba tuwasiliane whatsapp 0763872652