SMS NZURI

SMS NZURI SMS Nzuri — Burudani na simulizi fupi, meseji tamu za mapenzi, na hadithi zenye funzo kutoka Afrika. Na videos za mchanganyiko. Follow

09/09/2026

kila mkutano ilikuwa nikichekotu😄 watu walitabasamu kila time🧭 SMS NZURI

09/09/2026

leo nimeamua kuwaletea hii tujikumbushe kidogo kuhusu upendo wa

09/09/2026

habar wafuasi wangu poleni kwa mimi kupotea miezi kazaa niliumia sana page yetu kuzuiwa jamn hata sasa haiko sawa nawapenda sana NZURI

03/09/2026

Baby ❤️ hata k**a leo hatutaonana, usiku wangu bado umekuwa mzuri kwa sababu nimeongea na wewe. Wewe ni mtu wa thamani kwangu, na napenda jinsi ulivyo. Lala salama malkia wangu, kesho tutaongea tena 😘.”

02/09/2026

Salamu wafuasi wangu wapya! Nina furaha kuwa nanyi! Frj Bruno Helbeth, Juma Juma, Rifa Malasi, Kingmalley Malley, Amon Athuman, Hery Chalamila

23/08/2026

Assalamoalaika ya Rasul Allah ﷺ
Allah atujalie tuziyare Rawda tukasalimu

10/08/2026

"Sijabadilika bila sababu; maisha yamenifunza kuona mambo tofauti. Sitaki kurudi nyuma kwenye mazoea yale yale. K**a unataka tuwe sawa, ni lazima tukubaliane na uhalisia wa sasa, siyo kutaka kurudisha yaliyopita kwa nguvu."

Address

United State
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SMS NZURI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share