20/07/2025
Watu wengi huweka tumain la PENZI kwenye hali ya mtu (status) na sio kweny uhalisia wa yule unaempenda.
Utasikia mtu anasema Mpenzi wangu ni mtoto wa waziri, kwao wanauwezo, Baba yake ni mfanyabiashara mkubwa, Mpenzi wangu ni mkurugenzi, Mpenzi wangu anamagari, majumba n. k mara anaconnection na watu, ni mtaalam wa kuchenjua madin.
___________
Najiuliza swali k**a baba yake ni mfanyabiashara mkubwa, wewe unaenda kuolewa na baba yake au hyo biashara au unaenda kushirikiana nae kibiashara? Au unaenda na ww kuchenjua madin?? Mbona sijasikia mtu akisema Mpenzi wangu Ana hekima, ni mwenye busara au anawasaidia sana wasio jiweza. Vile vya maana hamvioni, vya kipuuzi ndio mnavisisitizia. Ndio maana machozi hayawaishi mnaingia kwenye Mapenzi nakiu ya status na vitu badala ya uhalisia, mnashindwa kufahamu kwamba hakuna uhusiano wa CV ya mtu na Ndoa au Mapenzi
fans