Ahmed Ally

Ahmed Ally SEMAJI LA SIMBA󱢏
Kamabado hauja subscribe
YouTube channel yangu gusa Link hii 👇
https://www.youtube.com/

21/07/2025
Nahodha wa Simba Sc, Mohamed Hussein (Tshabalala) amefunga ukurasa wa utumishi wake klabuni hapo baada ya kuaga rasmi ku...
19/07/2025

Nahodha wa Simba Sc, Mohamed Hussein (Tshabalala) amefunga ukurasa wa utumishi wake klabuni hapo baada ya kuaga rasmi kuwa anaondoka klabu ya Simba kupitia barua kwa Wanasimba.

“Takribani miaka 11 ya Furaha, uzuni, Shangwe, vifijo, nderemo na masikitiko ndani ya Mbuga.

Kwa uaminifu mkubwa, weledi wa kiwango cha juu, Kuvuja jasho kuipigania nembo ya klabu ndio ulikuwa msingi na malengo.

Wahenga walisema kila lenye mwanzo halikosi mwisho na leo nawaaga rasmi.

Haya ni maamuzi yaliyolenga Maendeleo yangu binafsi, maslahi yangu binafsi na weledi wangu uliotukuka.

Nichukue fursa hii kuwashukuru viongozi, benchi la ufundi na operation staffs wote wa klabu ya Simba SC kwa kipindi chote cha kuhudumu ndani ya klabu.

Kipekee niwashukuru mashabiki kwa kuwa nami kipindi chote, k**a mnavyonipenda na mimi nawapenda pia na nina imani mtaendelea kuniunga mkono.

Naishukuru Management Yangu ikiongozwa na Carlos Carlos kwa ushirikiano mkubwa wa kipindi chote.” — ameandika Zimbwe Jr.

👋
19/07/2025

👋

📸 Rais wa Simba SC, Mohammed Dewji amekutana na kufanya mazungumzo na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kuzungumzia mikakati mbal...
16/07/2025

📸 Rais wa Simba SC, Mohammed Dewji amekutana na kufanya mazungumzo na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kuzungumzia mikakati mbalimbali kuelekea msimu wa 2025/26.

Tetesi zenyewe zina Tetesi
16/07/2025

Tetesi zenyewe zina Tetesi

Time will tell welcome Tanzania 🦁🇹🇿Welcome Tanzania Brother
16/07/2025

Time will tell welcome Tanzania 🦁🇹🇿

Welcome Tanzania Brother

"Hatutaki kuzungumza sana msimu huu, lakini niwahakikishie tutashusha mali za maana vibaya vibaya. Tutakuja na aina hiyo...
16/07/2025

"Hatutaki kuzungumza sana msimu huu, lakini niwahakikishie tutashusha mali za maana vibaya vibaya. Tutakuja na aina hiyo ya usajili wa kimya kimya. Baada ya kujenga timu hivi sasa tunafanya maboresho."

16/07/2025

CHUMA KIMETUA.

Siondoki Simba bado nipo nipo sanaaàaK**a bado unanikubali usiniruke weka like apo alafu niambie chochote
15/07/2025

Siondoki Simba bado nipo nipo sanaaàa
K**a bado unanikubali usiniruke weka like apo alafu niambie chochote

Heri ya siku ya kuzaliwa Steven Mukwala.
15/07/2025

Heri ya siku ya kuzaliwa Steven Mukwala.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ahmed Ally posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share