11/06/2025
Mwanzo wa Mapenzi, Huwa Mtamu K**a ilivyo desturi ya mahusiano mengi katika jamii. Ila mambo yote hubadilika pale tu mmoja anapoamua kumsaliti mwenzake ndipo mambo huenda ndivyo sivyo yalivyotakiwa kwenda. Fuatilia mkasa wa bwana steven anaekutwa na hatia ya mauaji baada tu ya kumsaliti mkewe.
Usikose kuangalia siku ya Jumapili tarehe 15 Juni 2025
Saa 4:00 Usiku, Ndani Ya ,Chaneli Namba 106 na Marudio kila Jumapili saa 10:00 jioni, na jumanne saa 6:00 mchana.
Siku 4 tu zimebaki, karibu tukusimulie.
NdivyoSivyo Film Crew
|| Production
|| Producer
|| Production Manager.
|| Director
|| Ass Dir, Story & Script Writer
|| DoP
|| Editor
|| Ass. Camera
|| Sound Recordist
|| Gaffer & Lightsman
|| Wardrobe
|| Make Up Artist
X || Catering _ ._ Transportation Facilities
NdivyoSivyoFilm Key Cast
For Azam Media CC