Darmpya Blog

Darmpya Blog "we brings you the latest news to your hand each second"

๐—™๐˜‚๐—ฟ๐˜€๐—ฎ ๐—ฌ๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐—ป๐˜‡๐—ผ ๐—ฌ๐—ฎ ๐—ž๐—ถ๐˜‚๐—ฐ๐—ต๐˜‚๐—บ๐—ถ! ๐Ÿš€Je, unataka kukuza ujuzi wako wa biashara na uchumi? Jiunge na Semina ya Kiuchumi tarehe ...
14/02/2025

๐—™๐˜‚๐—ฟ๐˜€๐—ฎ ๐—ฌ๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐—ป๐˜‡๐—ผ ๐—ฌ๐—ฎ ๐—ž๐—ถ๐˜‚๐—ฐ๐—ต๐˜‚๐—บ๐—ถ! ๐Ÿš€

Je, unataka kukuza ujuzi wako wa biashara na uchumi? Jiunge na Semina ya Kiuchumi tarehe 17-23 Machi, 2025 na upate maarifa muhimu katika:

โœ… Ujasiriamali na Usimamizi wa Biashara
โœ… Kilimo na Ufugaji wa Kisasa
โœ… Usimamizi wa Fedha na Uwekezaji
โœ… Biashara ya Kimataifa na Usafirishaji
โœ… Mbinu nyingine za kuongeza kipato!

๐ŸŽฏ Manufaa:
โœ” Posho ya siku
โœ” Chakula na usafiri bure
โœ” Nafasi ya kujifunza na kujenga mtandao wa kibiashara

โณ Nafasi ni chache! Jisajili sasa kupitia:
๐Ÿ”— Bonyeza hapa kujiandikisha

https://mpango-kazi.github.io/fursa/



06/04/2023

NDUGU ABIRIA, UNAKARIBISHWA KUJIUNGA NA KOZI YA KIINGEREZA INAYOKUPA FURSA YA KUJIFUNZA POPOTE ULIPO BILA KUATHIRI RATIBA ZAKO!

Mtaalamu wa Kiingereza Online Course ni mtoaji wa kozi mbalimbali za Kiingereza aliyesajiliwa kisheria, anayetambulika ndani na nje ya nchi.

Anatoa kozi kwa makundi yote bila kubagua umri, elimu, au uwezo wa kifedha wa mtu.

Uwe na elimu ya darasa la saba, kidato cha nne, kidato cha sita, au chuo Kikuu, utapata kozi inayoendana na wewe. Hata K**a hukubahatika kusoma kabisa, unaweza kujifunza lugha hii, ni K**a lugha zingine tu.

Mtaalamu wa Kiingereza anatumia mfumo na mtaala wa kimataifa unaotumika kufundishia lugha ya Kiingereza K**a lugha ya pili au ya Kigeni, ambao unatumika barani Ulaya na sehemu mbalimbali duniani wa 'CEFR'.

Kupitia kozi yetu, utajifunza lugha ya Kiingereza, na sio somo la Kiingereza. Tunakufundisha lugha ya Kiingereza na utamaduni wake.

Kupitia kozi yetu utapata na kukuza msamiati (vocabulary) utakao kuwezesha kuwasiliana kwa kujiamini zaidi.

Utapata pia fursa ya kujifunza matamshi (pronunciation), bila kusahau grammar (sarufi).

Kubwa kuliko yote, kozi yetu imejengwa kwenye Kiingereza cha Kuongea (spoken English), ni lazima uongee tu upende usipende.

Unasubiri nini sasa kujiunga nasi?

Tuma ujumbe wako sasa kwenda WhatsApp namba 0716107367 ili upewe utaratibu wa kujiunga nasi. K**a unafahamu utaratibu wetu, fanya malipo yako kisha tuma jina kwaajili ya usajili. Na utaanza mafunzo mara moja.

Ewe waziri, mbunge, katibu wa wizara, watu wa mashirika na makampuni, wakufunzi wa vyuo, walimu wa sekondari na hata shule za msingi, wafanyabiashara wa kimataifa, wafanyabiashara wa ndani, watu wa sekta ya utalii, mama wa nyumbani, na wewe hapo unayesoma post hii, mnangoja nini kujiunga? Changamkieni fursa!

Kwa wakazi wa Dar es Salaam, wanaweza kufika kwenye tawi letu la Mbezi Louis.

Kwa wakazi wa Mbeya, wanaweza kufika kwenye tawi letu la Sokoine.

Tuma ujumbe wako sasa kwenda WhatsApp namba 0716107367. Karibu!

31/03/2023

KIINGEREZA NI TATIZO KWA MWANAO? MLETE OFISINI KWETU MBEZI LOUIS.

Tunatoa mafunzo binafsi (Individual training) kwa wanafunzi wa Sekondari na Vyuo.

Una mtoto aliyemaliza kidato cha nne (form four), lakini lugha inampa changamoto? MLETE KWETU.

Una mtoto aliye Sekondari (Form one, two, three, au four), lakini lugha inampa changamoto? MLETE KWETU.

Una mtoto anayejiandaa kujiunga na chuo ngazi ya cheti, diploma, au digrii? MLETE KWETU.

WALE WA SHULE YA MSINGI TUMEWASAHAU?
Hapana. Hata kwa watoto wa shule ya msingi, mzazi unaweza kuwaleta ofisini kwetu.

ADA NI ELFU 50 TU KWA MWEZI.

WANAWEZA KUSOMA JIONI WANAPOKUWA WAMETOKA SHULE.

OFISI INAFUNGULIWA SAA 3 ASUBUHI NA KUFUNGWA SAA 12 JIONI.

KESHO YA MWANAO INAANDALIWA LEO. MWANDALIE KESHO YAKE KWA KUMSAIDIA KUIELEWA VYEMA LUGHA YA KIINGEREZA INAYOTUMIKA KUFUNDISHIA KUANZIA NGAZI YA SEKONDARI HADI CHUO.

KUIELEWA VYEMA LUGHA YA KIINGEREZA KUTAMFANYA KUFANYA VYEMA KATIKA MASOMO YAKE.

TUPE NAFASI YA KUMSAIDIA MWANAO KUIELEWA VYEMA LUGHA YA KIINGEREZA.

TUNAPATIKANA MBEZI LOUIS KARIBU NA KANISA ANGLICAN (MTAKATIFU PETRO).

TUPIGIE 0716107367 KWA MAELEZO NA MSAADA ZAIDI.

NYOTE MNAKARIBISHWA!

24/02/2023

KWANINI UJIUNGE NA KOZI YETU? HIZI HAPA SABABU 10 ZINAZOTUFANYA TUWE BORA ZAIDI!

1. Tumesajiliwa na tunatambulika ndani na nje ya nchi. Yaani anayejifunza kwetu ni sawa na mwanafunzi anayejifunza Nacel English School London โ€“ UK au LSI Brisbane โ€“ Australia.

2. Tuna walimu wenye uzoefu na waliobobea katika ufundishaji lugha hasa Kiingereza k**a lugha ya pili na kigeni wakiongozwa na Mtaalamu wa Kiingereza mwenyewe (Mr. Wilson) aliyepata uzoefu wake nchini Uingereza na Australia.

3. Tunatoa vyeti baada ya mafunzo kulingana na level ya mwanafunzi. Vyeti vyetu unaweza kuvitumia kuombea kazi hasa zinazohitaji mtu mwenye uwezo wa kuongea na kuandika Kiingereza. Kuombea visa kwa English Speaking Countries, kuombea scholarship, kwa promotion kazini, nakadhalika.

4. Tunatumia โ€œBilingual Approach/Methodโ€ katika kozi yetu. Yaani lugha mbili, Kiingereza na Kiswahili. Hii inamsaidia mwanafunzi kuelewa vyema kile anachojifunza.

5. Tunatumia mfumo na mtaala wa kimataifa wa CEFR (Common European Framework of Reference for Languages). Kumbuka mfumo huu ni maalumu kwa ufundishaji wa lugha k**a lugha ya pili au ya kigeni. Hivyo kwenye kozi yetu utajifunza lugha ya Kiingereza na sio somo la Kiingereza.

6. Tunafundisha lugha ya Kiingereza na utamaduni wake. Hatufundishi somo la Kiingereza. Kozi ni zaidi ya somo la Kiingereza. Vituo vingi vimekuwa vikifundisha somo la Kiingereza na sio kozi na ndio maana wanafunzi wengi wanamaliza kozi wakiwa watupu maana walifundishwa k**a wanafunzi wanaojiandaa kujibu mtihani na sio kutumia Kiingereza.

7. Kozi yetu inakupa nafasi ya kuongea Kiingereza na kufanyia kazi kile ulichojifunza. Tunafundisha stadi zote nne: Speaking (kuongea), Writing (Kuandika), Listening (Kusikiliza), Reading (Kusoma). Pia utapata nafasi ya kujifunza matamshi ya maneno kwa usahihi (pronunciation), sarufi ya lugha (grammar), na kujijengea msamiati wa kutosha (vocabulary) utakaokusaidia kuwasiliana katika mazingira tofauti tofauti.

8. Kozi yetu inakupa fursa ya kuchagua muda wako wa kujifunza kati ya/kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa tano usiku. Yaani unasoma kwa muda wako bila presha yoyote. Unaweza kusoma ukiwa kazini au jioni/usiku baada ya kazi. Unasoma bila kuathiri shughuli zako.

9. Kozi yetu inakufikia popote ulipo. Mikoa yote ya Tanzania. Dar es Salaam, Pemba Kaskazini, Pemba Kusini, Unguja Kaskazini, Unguja Mjini Magharibi, Unguja Kusini, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, Mwanza, Morogoro, Dodoma, Tabora, Singida, Shinyanga, Iringa, Songwe, Njombe, Geita, Kagera, Simiyu, Mara, Katavi, Kigoma, Ruvuma, Manyara, Lindi, Mtwara, Pwani, Rukwa, Tanga.

10. Tunatoa mafunzo kwa watu wa elimu na rika zote. Uwe na elimu ya darasa la saba au chuo kikuu, tuna mafunzo maalumu kwaajili yako yanayoendana na mahitaji yako. Uwe hujui kabisa Kiingereza, basi tutakuongoza hatua kwa hatua hadi ujue. Unahitaji Kiingereza kwaajili ya biashara, kazi, elimu, au mahitaji yoyote yale, tupo kwaajili ya kukusaidia.

UNAHITAJI KUJIUNGA NA KOZI YETU?

TUMA UJUMBE KWENDA WHATSAPP NAMBA 0716107367 AU BOFYA PALIPOANDIKWA NENO โ€œWHATSAPPโ€ KUWASILIANA NASI MOJA KWA MOJA.

HUDUMA KWA NJIA YA WHATSAPP INAPATIKANA MUDA WOTE (24/7). HIVYO UNARUHUSIWA KUTUMA UJUMBE WAKO MUDA WOWOTE ULE. (TAFADHALI SANA USITUME UJUMBE WA KAWAIDA. JUMBE ZOTE ZITUMWE KWA NJIA YA WHATSAPP).

UNAWEZA PIA KUPIGA SIMU MOJA KWA MOJA KWENYE NAMBA YETU YA HUDUMA 0716107367. PIGA SIMU KWENYE MUDA WA KAZI PEKEE. KUANZIA SAA MBILI ASUBUHI HADI SAA KUMI NA MBILI JIONI. NJE YA MUDA WA KAZI HATUPOKEI SIMU.

KWA MAHITAJI YA VITABU TUMA UJUMBE WENYE NENO โ€œVITABUโ€ KWENDA WHATSAPP NAMBA 0716107367.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Darmpya Blog posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Darmpya Blog:

Share