Washington Promota

Washington Promota Funny and promote upcoming artist

Kwa Maoni Yako, Kati Ya Hawa Ndugu Zangu Wawili Wakubwa, Alikiba na Diamond Platnumz Unadhani Nani Ndio Mfalme Wa Bongo ...
13/11/2025

Kwa Maoni Yako, Kati Ya Hawa Ndugu Zangu Wawili Wakubwa, Alikiba na Diamond Platnumz Unadhani Nani Ndio Mfalme Wa Bongo Fleva?

This is harmonize Artist from tanzanie ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
13/11/2025

This is harmonize Artist from tanzanie ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

13/11/2025
12/11/2025
Rihanna aliamua kuzijaa kabisa ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ
11/11/2025

Rihanna aliamua kuzijaa kabisa ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ

Neno Moja kwa Mrs kajala ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
11/11/2025

Neno Moja kwa Mrs kajala ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Washington Promota :Katika kipindi ambacho Watanzania hawataki mchezo basi ni kipindi hiki, hata k**a walikupenda sana i...
10/11/2025

Washington Promota :Katika kipindi ambacho Watanzania hawataki mchezo basi ni kipindi hiki, hata k**a walikupenda sana ila kipindi hiki wame amua kuipenda nchi kwanza.

๐ŸšจNi kipindi ambacho usipo kuwa makini utapoteza Kila kitu
Naona Diamond platnumz ni k**a bado haamini Watanzania wanaweza kumpuuzia, ana amini yeye ndo Tanzania yenyewe, lakini ukweli ni kwamba akili waliyo nayo Watanzania Kwa Sasa siyo Ile ya mwaka juzi, Watanzania ni k**a wame zaliwa upya.

๐ŸšจShow ya Diamond hapo Jana alipo pandishwa jukwaani na Davido ingekuwa kipindi Cha nyuma Kila staa kule Instagram angepost kumpongeza lakini Jana hakuna staa yeyote aliye post Kwa sababu Wana ogopa kutukanwa na Watanzania, Sasa jiulize hiyo hali itaisha lini?

๐ŸšจHiyo Hali kuisha siyo Leo Wala kesho, Watanzania Kwa Sasa mioyo Yao imeingia sumu ambayo kuja kutoka siyo Leo Wala kesho, Kwa maana hiyo ita wapoteza au kuwapunguzia nguvu wasanii wengi akiwemo Diamond.

๐ŸšจDiamond asipo jichunguza na kuendelea kuwa na kiburi naliona anguko lake kubwa na wasanii wake wa wasafi.

Swali dogo tu, Diamond ataweza tena kuendelea na lile tamasha lake la wasafi festival kuzunguka mikoa yote? Jibu ni hapana haiwezekani tena.

Msisahau ku follow page yetu ili kupata update zetu

This is jaymelody artist from tanzanie ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
10/11/2025

This is jaymelody artist from tanzanie ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Mama Amina na chino Kidd leo๐Ÿ˜Š๐Ÿคญ
10/11/2025

Mama Amina na chino Kidd leo๐Ÿ˜Š๐Ÿคญ

09/11/2025

Davido akiuliza watu k**a wanataka collabo ingine kati yake na Diamond, wanashangilia sana

09/11/2025

Mtoto wa Chief Godlove Msanii P**i Jojo Anasema huu wimbo wake ndo wimbo namba Moja Africa.Hela nyingi imetumika๐Ÿ˜Š Washington Promota

08/11/2025

Tazama jinsi Diamond platnumz alivyo panda jukwani wakiimba number one pamoja na Davido

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Washington Promota posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Washington Promota:

Share