Hc Saund

Hc Saund Hc Saund | Singeli Producer
Natengeneza hits za Bongo – Karibu kwenye dunia ya sound kali, Beat kali! DM kwa kazi.
+255697585397

Welcome to my Page known as HC SAUND ,

here is the motion for the new Singeli laza and bakola beat

you can also distribute your work online via 0697585397, Gmail: [email protected]

WASILIANA NA HC SAUND Producer | Beat Maker | Music CoachHuduma Tunazotoa:✅ Kutengeneza Beat zote (Singeli, Bongo Fleva,...
10/10/2025

WASILIANA NA HC SAUND
Producer | Beat Maker | Music Coach

Huduma Tunazotoa:
✅ Kutengeneza Beat zote (Singeli, Bongo Fleva, Amapiano, na zaidi)
✅ Kurekodi nyimbo kwa ubora wa studio
✅ Matangazo & Promo za wasanii mtandaoni
✅ Jifunze Mziki kwa vitendo na maelekezo ya Hc Saund

📞 WhatsApp / Simu / SMS:
+255 755 789 270

📍 Mahali:
Mbagala – Saba Saba, Kwa Mpili

Chukua hatua leo, safari yako ya mziki inaanzia hapa kwa HC SAUND!

08/10/2025

Unajua maisha magumu, sio kila anayekupenda unaweza kumpa moyo…
Lakini yeye bado hasikii, anasema ananipenda �

Beat mpya inayotrend kwasasa 🔥https://youtu.be/jWlrJI18C24
03/10/2025

Beat mpya inayotrend kwasasa 🔥
https://youtu.be/jWlrJI18C24

Brand New Beat Alert! 🔥Presenting "Ajatulia" – a Singeli Love Beat by **Hc Saund**.Hii ni beat ya mapenzi yenye ujumbe mzito: unamwambia mtu aliyeko na ex w...

Shabiki zangu awawezi kupita bila kulike 👍❤️ Hii beat ni mpya naomba sapot yako 🙏🔔
02/10/2025

Shabiki zangu awawezi kupita bila kulike 👍❤️ Hii beat ni mpya naomba sapot yako 🙏🔔

14/09/2025

Vaibu limempanda
Singeli mpya, nambie kwenye comment msanii anaitwa nani..?

Hatimaye tumepata 🔥👇https://youtu.be/Xe9T1JMLEdUUsisahau kucomment kuhusu hii beat 🪘Challenge yetu ni kucomment "BEAT KA...
13/09/2025

Hatimaye tumepata 🔥👇
https://youtu.be/Xe9T1JMLEdU
Usisahau kucomment kuhusu hii beat 🪘

Challenge yetu ni kucomment "BEAT KALI" na nitatoa hii beat bureee kwa msanii yoyote.🔥
Ukiwa Msanii comment hapo kwenye beat YouTube na bahati inaweza kuwa yako, nitaondoa hayo maneno yanaongea ili beat ibaki nzuri.🔥🔥

🙏Naomba nisaidie kushare kwa marafiki pia kwenye magroup uliyonayo 🙏

🔥 Singeli Beat Mpya 🔥Hii ni UMEACHIKA – Singeli Beat by HC Saund yenye lyrics zinazoonekana kwenye screen. Ni beat kali kwa freestyle, mashairi, au kuimba....

82% ya wanaosikiliza beat zangu bado hawaja-subscribe 😔...Jamani subscribe sio hela bana 😅😂Kila subscribe moja inanipa n...
11/09/2025

82% ya wanaosikiliza beat zangu bado hawaja-subscribe 😔...
Jamani subscribe sio hela bana 😅😂
Kila subscribe moja inanipa nguvu ya kuendelea kutengeneza beat kali zaidi 🙌🔥
Subscribe hapa: https://youtube.com/

Kuna wanangu tumeanzia mbalii, ila wote kwa ujumla tupo pamoja sana, na leo tuchangie ili swali kidogo 🙏"Ni beat gani il...
11/09/2025

Kuna wanangu tumeanzia mbalii, ila wote kwa ujumla tupo pamoja sana, na leo tuchangie ili swali kidogo 🙏
"Ni beat gani ili kushawishi uanze kuimbia Au iliyofanya uanze kufuatilia beat zangu" by Hc Saund.

Changia maoni yako kwenye link:
https://youtube.com/post/UgkxZ1NIzzi9ddR-xj0iIByD-F984L5D4SmK

Congratulations 👏🎉🎉400+ One day 🤔🙏https://youtu.be/SJ-NuutXVu0Naomba msiache kusapot beat hii na zingine, na baada ya hi...
31/08/2025

Congratulations 👏🎉🎉
400+ One day 🤔🙏

https://youtu.be/SJ-NuutXVu0

Naomba msiache kusapot beat hii na zingine, na baada ya hii kuna nyingine kalii 🔥🔥
Nisaidieni kusambaza link kwa marafiki na magroup tofaut tofaut 🙏🙏

https://youtu.be/SJ-NuutXVu0

Address

Tandale, Sweetconer
Dar Es Salaam
00000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hc Saund posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Hc Saund:

Share