Bongo Gossip Tz

Bongo Gossip Tz kwa stori za mastar ndani na Nje Bongo karibu kwenye Page Yako Pendwa Bongo Gossip Tz. Kwa Matangazo Njoo Inbox Tukutangazie Biashara Yako

Diamond Mpigia Pasi Alikamwe 😂
03/10/2025

Diamond Mpigia Pasi Alikamwe 😂

29/09/2025
06/09/2025
Billnass na Nandy Penzi lipo 😢💔❤️‍🩹 nini tena kimetokea jamani
05/09/2025

Billnass na Nandy Penzi lipo 😢💔❤️‍🩹 nini tena kimetokea jamani

Mwaume au Mwanamke 🤔
04/09/2025

Mwaume au Mwanamke 🤔

04/09/2025

VIDEO YA Harmonize YAVUJA AKIWA CHUMBANI NA KITOTO CHA 2000

Mkurugenzi Mkuu wa ChiefGodlove Foundation Chief Godlove  amechukua na kurudisha fomu ya kutia nia kugombea Ubunge Jimbo...
02/07/2025

Mkurugenzi Mkuu wa ChiefGodlove Foundation Chief Godlove amechukua na kurudisha fomu ya kutia nia kugombea Ubunge Jimbo la Kyela, Mbeya kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).

Bao pekee kutoka kwa kinda Gonzalo Garcia limeipeleka Real Madrid kwenye robo fainali ya kombe la Dunia la FIFA ngazi ya...
01/07/2025

Bao pekee kutoka kwa kinda Gonzalo Garcia limeipeleka Real Madrid kwenye robo fainali ya kombe la Dunia la FIFA ngazi ya klabu kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Juventus katika dimba la Hard Rock, Miami Gardens, Florida.

Real Madrid imetangulia robo fainali kumsuburi mmoja kati ya Borussia Dortmund au Monterrey ya Mexico watakaochuana baadaye.

FT: Real Madrid 🇪🇸 1-0 🇮🇹 Juventus
⚽ 54' Garcia

Mwanahabari na aliyekuwa Msemaji wa zamani wa vilabu vya Simba na Yanga, Haji Manara, amechukua Fomu ya kuwania Udiwani ...
01/07/2025

Mwanahabari na aliyekuwa Msemaji wa zamani wa vilabu vya Simba na Yanga, Haji Manara, amechukua Fomu ya kuwania Udiwani katika Kata ya Kariakoo, Jimbo la Ilala kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).

Zoezi la uchukuaji fomu katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima, ambapo watia nia mbalimbali wameendelea kujitokeza kwa ajili ya kuchukua fomu za Ubunge na Udiwani.

Ben poul KAJIPATA UJERUMANIMnamo mwaka jana (2024) mwanamuziki Benard Mnyang'anga 'Ben Pol" aliweka wazi kuwa yupo kweny...
16/06/2025

Ben poul KAJIPATA UJERUMANI
Mnamo mwaka jana (2024) mwanamuziki Benard Mnyang'anga 'Ben Pol" aliweka wazi kuwa yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na bidada wa Kijerumani Herena. Baada ya kumwagana na Anerlisa Muigai wa Kenya.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram Ben Pol alipost picha za mtoto wake aliyepata na Herana.

Address

Kimara
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bongo Gossip Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share