Umbeatz Media

Umbeatz Media Kwa Habari Za Udaku | Elimu | Picha | Michezo | Siasa Na Matukio

Matangazo Ya Biashara Njoo DM.

17/08/2026

Say Something Nice..!!πŸ˜β€οΈπŸ™ŒπŸ½

17/08/2026

*150K IN 3 WEEKS!* πŸ“ˆ
*AKIKI DADI β€œCAN YOU SEE ME”* inaendelea kutawala YouTube.
Mafanikio haya yanaonyesha ukuaji wa *muziki mpya wa Tanzania*.
Link ya video iko kwenye bio.

Kijana Wa Ovyo Anawaza Kuishi Singo..!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
17/08/2026

Kijana Wa Ovyo Anawaza Kuishi Singo..!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tunajua K**a Huudumiwi..!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
17/08/2026

Tunajua K**a Huudumiwi..!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kiredio Alini-Cheat Na Rafiki Yangu Wa Karibu Ndiyo Sababu Ya Mimi Na Yeye Kuachana Lakini Pia Alikuwa Akipenda Kunipiga...
17/08/2026

Kiredio Alini-Cheat Na Rafiki Yangu Wa Karibu Ndiyo Sababu Ya Mimi Na Yeye Kuachana Lakini Pia Alikuwa Akipenda Kunipiga Piga…!!πŸ‘€πŸ˜­πŸ€¦πŸ½β€β™‚οΈ

πŸŽ₯ / Wasafifm

Swipe

Tukio Hili Limetokea Kwenye Moja Ya Sheli Inaonekana Bajaji Ya Mizigo Ikiwaka Moto Lakini Watu Wameishia Kushangaa Na Ku...
17/08/2026

Tukio Hili Limetokea Kwenye Moja Ya Sheli Inaonekana Bajaji Ya Mizigo Ikiwaka Moto Lakini Watu Wameishia Kushangaa Na Kushindwa Kumpa Msaada Jamaa Mwenye Bajaji..!!πŸ‘€πŸ’”πŸ™†πŸ½β€β™‚οΈ

Unadhani Hii Hali Inatokana Na Nini Mpaka Kupelekea Watanzania Kushindwa Kusaidiana.,?

Swipe

17/08/2026

Baada Ya Video Ya Kajala Kuonekana Akijibu Swali La Kuhusu Mahusiano Yake Na Harmonize Pamoja Na Mwanae Paulah Mwijaku Ameibuka Na Kusema Kajala Anahitaji Msaada Wa Mwanasaikolojia Kwani Hayupo Sawa Kiakili..!!πŸ‘€πŸ™†πŸ½β€β™‚οΈ

Big Yes Or No.,?

17/08/2026

πŸ”₯ TROY BIGFOOT – β€œGOBAD” πŸ”₯

Msanii TROY007 ameachia β€œGOBAD” 🎢πŸ”₯
King of Visuals indeed πŸ‘‘πŸŽ¬ β€” huyu ndiye mkali wa visuals kwa sasa!

Wimbo unapatikana kwenye all digital platforms 🌍. Tuendelee ku-enjoy good music kutoka kwa international artist huyu ambaye anaonekana kabisa k**a Next Grammy Winner πŸ†πŸŒ

Lakini hii video bana… ina mambo mengi! πŸ˜‚πŸ”₯ Oyaa TROY007, waache Watanzania wa-enjoy hii video! πŸ‡ΉπŸ‡Ώβ€οΈ

GOBAD OUT NOW β€” STREAM IT EVERYWHERE! 🎢πŸ”₯

πŸ˜­πŸ’”πŸ™ŒπŸ½
16/08/2026

πŸ˜­πŸ’”πŸ™ŒπŸ½

Asikuambie Mtu Kitu Babu…!!πŸ»πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ½
16/08/2026

Asikuambie Mtu Kitu Babu…!!πŸ»πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ½

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Umbeatz Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Umbeatz Media:

Shortcuts

Share

Category