
01/06/2024
Kukosa misingi imara kwenye mahusiano kunaweza kusababisha migogoro, huzuni, hatari ya kuvunjika kwa penzi, kuchanganyikiwa, kupoteza mvuto, kuharibu kazi na hata vifo iwe kujiua ama kuua.
Jambo hili linaweza kuathiri kujiamini na kuondoa furaha yako ya kila siku, huku Watoto, familia yako na jamii nzima wakipata athari mbaya zaidi.
Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali kutoka vyombo vya kuaminika k**a vile mtandao wa BBC/SWAHILI, Ulichapisha habari zilizoonesha athari za mapenzi katika jamii za kitanzania. (Rejea Yusuph Mazimu BBC Swahili 1 Juni 2022 aliyeandika “Mauaji ya wivu wa kimapenzi Tanzania, yalianza k**a kipele sasa ni jipu la kutumbuliwa”
www.getvalue.co/prod/bima_ya_penzi
Kuna mengi yanayoizunguka jamii yenye mahusiano, hivyo basi Mwamwingila G.P wa Mtalimbo Books amekuletea suluhisho yaani BIMA YA PENZI.
www.getvalue.co/prod/bima_ya_penzi
Pata nakala ya riwaya yetu ya kusisimua, "Bima Ya Penzi". Riwaya hii inakufundisha mbinu za kudumisha upendo na kukuwezesha kuandaa Bima halisi ya Penzi lako.
www.getvalue.co/prod/bima_ya_penzi
Soma hadithi ya kuvutia iliyojaa hekima na mbinu bora za kutatua changamoto za mahusiano. Jifunze kupitia wahusika wetu na jenga misingi imara ya penzi lako!
Bofya hapa kupata Bima yako
www.getvalue.co/prod/bima_ya_penzi
Kwa maelezo zaidi tufatilie kwenye Mitandao ya Kijamii @ Bima Ya Penzi
Simu: 0657 532334