Boda2bodatv

Boda2bodatv ukurasa huu ni wa taarifa za habari tu.. https://www.youtube.com/channel/UCIJ6x3aA_VMfJx7kzXvAhIA/

11/06/2026

Powerfull man watching fifa worldcup
Create with .creators
Lu yang pengen bikin konten kayak komen “fifa” gw kirim ke dm

11/06/2026

Unaikumbuka hii? Shabiki wa Diamond Platnumz alivyompelekea Penseli Alikiba baada ya Alikiba kusema kuwa Diamond Platnumz kamuibia Penseli yake.
Hii ilikuwa November 8,2019

poleni sanaaaaaaa.
11/06/2026

poleni sanaaaaaaa.

11/06/2026

Tazama jinsi ilivyokuwa hadi Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo kupoteza pambana hili.

11/06/2026

Umeme wote wa zanzibari unatoka bara

11/06/2026

Video iliyosambaa mitandaoni imewaacha wengi wakicheka na kuguswa baada ya kumuonyesha paka wa rangi ya machungwa akielekea kwa furaha kwa mpenzi wake huku akiwa amembeba panya mdomoni k**a zawadi.
Hata hivyo, alipokaribia alipanga kumpa zawadi hiyo, alimkuta paka huyo mweupe akiwa karibu na paka mwingine wa rangi nyeusi ambaye alikuwa akimpapasa kichwa.
Mpaka Hawa wanaumia we nani usiumizwe?😅

Msanii wa Bongo Fleva    ameendelea kuibua mjadala mtandaoni baada ya kushiriki ujumbe unaoonyesha namna anavyojiona kwe...
11/06/2026

Msanii wa Bongo Fleva ameendelea kuibua mjadala mtandaoni baada ya kushiriki ujumbe unaoonyesha namna anavyojiona kwenye nafasi ya juu katika kile anachokifanya.
Kupitia Instagram Story yake, Harmonize aliweka picha ya Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob John Mkunda, akiandika kuwa k**a mtu hawezi kumuita namba moja, basi amuite CDF, akimaanisha kiongozi mkuu katika eneo husika.
Una maoni gani ?

10/06/2026

🚨 FUNZO LA MAISHA: HEKIMA NI ZAIDI YA PESA! 🧠💼
Kuna simulizi inayozunguka mtandaoni kuhusu N'Golo Kanté inayowafanya wengi kutafakari kuhusu umuhimu wa kupanga maisha na mali kwa busara. ⚽️🔥
Bila kujali ukweli wa simulizi hiyo, jambo moja linaonekana wazi: maamuzi ya kifedha na mipango ya maisha yanahitaji hekima, umakini na maandalizi ya muda mrefu. 💰📈
Watu wengi huwekeza muda mwingi kutafuta pesa, lakini husahau kujifunza namna ya kuzilinda, kuzipanga na kuzisimamia kwa usahihi.

10/06/2026

Sio Sawa mimi kusema ni kijana wa diamond kwa Sababu nishakuwa namiliki lebel na nitajiri pia 😁 ameongea msanii huku akicheka kwa utani.
Full interview ipo kwenye YouTube channel ya


Powered by & See less

Wiki Moja kabla ya kombe la dunia 2026 mke wa N'Golo Kanté Mfaransa Jude Littler alitangaza kuwa anawasilisha talaka, ak...
10/06/2026

Wiki Moja kabla ya kombe la dunia 2026 mke wa N'Golo Kanté Mfaransa Jude Littler alitangaza kuwa anawasilisha talaka, akiamini kuwa chini ya sheria za Ufaransa mali zao zingegawanywa 50/50 bila kujali mazingira.
Hata hivyo, wakati wa kesi mahak**ani, iliweka wazi kwamba Kanté hakuwa na mali nchini Ufaransa, mali na utajiri wake katika nchi yake ulisajiliwa kwa majina ya watoto wake mapacha.
Kwa hali ilivyo, Kanté sasa ndiye anatakiwa kupokea mgawo wa mali za mkewe Jude Littler. Baada ya taarifa hiyo mara moja mkewe akataka kusitisha zoezi hilo la talaka lakini mahak**a ilikuwa imesha pitisha tayari talaka hiyo. See less

Address

Https://www. Youtube. Com/channel/UC5tZ1NwYVjZFdrFLjefjNmQ/
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Boda2bodatv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share