Jmmedia Online

Jmmedia Online East Africa Leading Online Media News. Jomax Media Tanzanian Leading Online Media.

05/09/2026

Chama Baada ya Kutua Yanga.

NDIO TUMEKATAA BUS LAOKuna mambo yapo kikanuni na kisheria za soka haswa kwenye mchezo ya caf champions league, Sisi tum...
05/09/2026

NDIO TUMEKATAA BUS LAO

Kuna mambo yapo kikanuni na kisheria za soka haswa kwenye mchezo ya caf champions league, Sisi tumekuja kwenye mchezo kuna mambo tutafata kisheria na kanuni zinavyosema ila swala la kutumia vitu vya mwenyeji sio swala la kikanuni kusema ni lazima ila huwa k**a sehemu ya ukalimu hivyo tumewaambia sisi tuna gari na sehemu yetu hivyo atuja vunja kanuni

Yanga ni timu kubwa sasa timu yetu ilifika muda mrefu kuandaa kila kitu level za kupangiwa tulishavuka lazima tufanye vitu kulingana na ukubwa wetu na namna inatakiwa kuwa. Ally kamwe

26/08/2026

I got over 12,000 reactions on my posts last week! Thanks everyone for your support! 🎉

23/08/2026

Katoro not for Beginner Usijichanganye Komaa na Unachokifanya Huko huko Ulipo Utafanikiwa.

Mtu mmoja akiingia Magufuli Stendi analipa Tsh 300 ,inakadiriwa kwasiku ni zaidi ya watu 224,000....sawa naTSh MILIONI 6...
19/08/2026

Mtu mmoja akiingia Magufuli Stendi analipa Tsh 300 ,inakadiriwa kwasiku ni zaidi ya watu 224,000....sawa na
TSh MILIONI 65+ Gari Moja Kuingia Magufuli inalipa Elfu tatu (3000) inakadiriwa Magari yanayoingia magufuli ni zaidi ya 3000...sawa na MILLIONI 9 Kwa siku Bado gari haijalala stendi
Wafanyabiara Bado hawajalipa ushuru ,wingi wa watu ndyo
ushuru kuongeza na wafanyabiashara wataongezeka Yote hayo ni mapato ya Serikali, OFISI za mabasi wakiweka Magufuli ,tayali watalipia Kodi ya OFISI...

Mh. Albert CHALAMILA anapigania mapato yaingie SERIKALINII

09/08/2026

Kutoka Mwanza Soko Kuu Asimulia Changamoto aliyokutana nayo Rafiki yake Baada ya Kuonja Sh**ha kwa Msukumo wa Marafiki.

08/08/2026

Mashabiki watoa ya Moyoni Baada Ya Tamasha la Simba Day.

04/08/2026

RPC Janeth Magomi Atoa wito kwa wazazi Kusimama imara kwenye Malezi ya Watoto ili Kuwaepusha kujiingiza kwenye Matumizi ya Dawa za Kulevya, Amesema Hayo tarehe 1 mwezi wa 8 kwenye Bonanza la Polisi Jamii Kahama.

04/08/2026

RPC Mkoa wa Shinyanga SACP Janeth Magomi Akizungumza na Jomax Media Amesisitiza Jamii Kuacha Kusafirisha na Matumizi ya Dawa za Kulevya,

Kamanda Magomi Amesisitiza Kuwa Mkoa washinyanga Unafanya Dolia Za Mara kwa Mara Kuhakikisha Watumiaji na Wasafirishaji Wanak**atwa Kwa na Kufikishwa Mamlaka husika kwa Mujibu wa Sheria, Amezungumza Haya kwenye Bonanza lililoandaliwa na Polisi Jamii Kahama Mjini kwenye Uwanja wa Taifa wa kahama Tarehe 1 mwezi wa 8 likihudhuliwa na jogging klabu zaidi ya 5 lakini Kahama jogging klabu ikisheherekea miaka mitano ya kuanzishwa kwa klabu hiyo,

Kwenye Bonanza Hilo Wasanii Nandy na Billnass walikuwa moja ya Washehereshaji wakitoa burudani fupi kwa Wanakahama.

Address

Mawasiliano
Dar Es Salaam
P.O.BOX14498

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jmmedia Online posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share