
18/09/2025
Wananchi tayari wameshawasili nchini Angola, Ijumaa hii watakuwa dimba la Estadio 11 de Novembro wakicheza na Wiliete Sports Clube mechi ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika.
Mchezo huu utapigwa kuanzia saa 12:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu.
Follow YANGA NI JAMII YETU.