31/08/2026
YALIYO KIKI ✍️
Kumbe Yanga ikicheza na Timu pungufu ndio inapoteana hivi? Yani ukiangalia kwa haraka wanavyocheza utadhani wao ndo wapo pungufu aisee mpira ni butua butua mno.
Fountain Gate 0 Yanga SC 2