Mwananchi Scoop

Mwananchi Scoop A Swanglish Digital Platform for University Students. Magazine is published Mon - Fri, on M-Paper, eGazeti, Magzter, Mwananchi & Mwanaspoti

We cover stories on Work & Skills, Business & Money Management, Technology, Health, Entertainment and Storytelling.

15/01/2026
Namna ya kutengeneza Saladi ya Caesar
15/01/2026

Namna ya kutengeneza Saladi ya Caesar

Mwaka mpya na mambo mapya, Sisi Mwananchi Scoop tumekusozegezea dondoo za vyakula ambavyo utakula kwa ajili ya kukusaidia katika safari yako ya  ...

Neha Kakkar ameamua kuvunja miiko ya muziki wa India
15/01/2026

Neha Kakkar ameamua kuvunja miiko ya muziki wa India

Tasnia ya muziki wa India hasa katika filamu za Bollywood, imekuwa na mifumo na miiko yake kwa miaka mingi.Kwa muda mrefu, kumekuwa na mgawanyo mkubwa...

Navaa hereni ni utamaduni, babu yangu alivaa pia
15/01/2026

Navaa hereni ni utamaduni, babu yangu alivaa pia

Mwigizaji wa filamu nchini, Steven Charles 'Dr. Alsmas' amefunga mjadala wa maswali kuhusiana na hereni anazovaa.Dr. Almas mwenye umri wa mi...

Ndege binafsi ya Diddy yapigwa mnada
15/01/2026

Ndege binafsi ya Diddy yapigwa mnada

Msanii na mfanyabiashara kutoka Marekani, Sean “Diddy” Combs, ameripotiwa kuuza ndege yake binafsi (private jet) aina ya Gulfstream G550, ...

Rose Muhando adai Sony Music imemdhulumu, Seven ajibu
15/01/2026

Rose Muhando adai Sony Music imemdhulumu, Seven ajibu

Mwanamuziki wa nyimbo za injili nchini Rose Muhando amedai kampuni inayojihusisha na uuzaji na kusambazaji wa muziki 'Sony Music Africa' ime...

Eminem msanii mwenye maokoto asiyejionesha mitandaoni
15/01/2026

Eminem msanii mwenye maokoto asiyejionesha mitandaoni

Nyumba, magari, mavazi, mahusiano na vinginevyo ni miongoni mwa vitu ambavyo wasanii na watu maarufu duniani hupenda kuonyesha mitandaoni k**a sehemu ...

Trafiki india watumia njia hii kudili na wanaopiga honi kupita kiasi
15/01/2026

Trafiki india watumia njia hii kudili na wanaopiga honi kupita kiasi

Trafiki kutoka Mumbai, India wakishirikiana na FCB Interface walianzisha kampeni ya kipekee ya kupunguza ‘Honi’ barabarani ambazo zilichan...

Aya Nakamura msanii anayeruhusu Bodyguard kumshika kokote
15/01/2026

Aya Nakamura msanii anayeruhusu Bodyguard kumshika kokote

Wakati wasanii wengine wa k**e wakiambatana na wasimamizi wao ambao ni wanawake, katika sehemu mbalimbali za kazi. Hii ni tofauti kwa msanii Aya Nakam...

Address

Mwananchi, Tabata
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwananchi Scoop posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share