03/08/2025
SIO LAZIMA UWE NA KIFAA UNAWEZA KUUNGA KWENYE LAIN YA YAS
📡 *YAS 5G ROUTER – MTANDAO WA KASI YA JUU ZAIDI NA HUDUMA ZA KISASA!*
Karibu upate router ya *kisasa yenye teknolojia ya 5G*, bora kwa matumizi ya biashara, familia, ofisi, au mtu binafsi. Kifaa hiki kinakuwezesha kuwa na intaneti isiyokwamisha hata ukiwa na watumiaji wengi!
🔹 *Inaunganisha watumiaji 32 kwa wakati mmoja bila shida yoyote.*
🔹 *Ina uwezo wa kukaa na chaji kwa zaidi ya masaa 10,* hivyo haitegemei umeme muda wote.
🔹 *Inatumia wireless na ethernet cables,* unaweza kutumia kwa njia zote mbili.
🔹 *Ina uwezo wa kufikisha speed hadi 200 Mbps,* kasi ya kimbunga!
🔹 *Inaconnect hadi umbali wa mita 100,* hivyo haina mipaka ya ndani tu.
🔹 *Inatoa mtandao usio na kikomo (unlimited),* hakukwamishi hata ukiwa live au unafanya kazi nzito mtandaoni.
🎁 *Inakuja na ofa hizi mbili muhimu:*
1️⃣ *Mwezi mmoja wa kutumia bure* baada ya kuinunua
2️⃣ *CUG Offer:* Utapewa nafasi ya kupiga simu na kutuma ujumbe *bure kabisa* kwa namba tano utakazochagua mwenyewe.
💰 *BEI YAKE NI TZS 99,000 PEKEE!*
📝 *VIGEZO NI RAHISI SANA!* Huhitaji masharti magumu – unachotakiwa ni kutuma taarifa zako kwa ajili ya kusajili kifaa chako.
📍 *Mahali:* Kigamboni Ferry
📞 *Mawasiliano:* 0749 996 466 (Simu/WhatsApp)
📧 *Email:* [email protected]