19/08/2024
Kwa sasa Album ambayo inaongoza kwa kusikilizwa kupitoa jukwaa (platform) la Boomplay ni Album ya THE KID YOU KNOW yenye zaidi ya wasikilizaji 110.3M
1. The kid you know - Marioo 110.3M
2. First of all - Diamond Platnumz 107.4M
3. Made For Us- Harmonize 100.1M
4. Flowers II - Rayvanny 91.7M
5. Khan- mbosso 82M
6. Only one king- Alikiba 69.2M
7. Definition of love- Mbosso 67.6M
8. Loved sounds different- Barnaba 65.1M
9. Vist Bongo- Harmonize 58.6M
10. High school- Harmonize 58.5M
Kwa habari zaidi tembelea channel yetu ya YouTube CNS