Simba Jr Sport+255

Simba Jr Sport+255 UKURASA KWAAJILI YA TAARIFA ZA SIMBA

Karibu YouTube kwa Habari kali zaidi 👇
https://www.youtube.com/
(1)

Ni kweli wamefanya mazungumzo wakatupatia mchezaji Yes nzuri 🔥, hii ya kuandika BARUA KWA UMMA kutangaza kua wamemtoa bu...
16/01/2026

Ni kweli wamefanya mazungumzo wakatupatia mchezaji Yes nzuri 🔥, hii ya kuandika BARUA KWA UMMA kutangaza kua wamemtoa bure imekuja kwa lengo lipi?

Hapa kidogo kuna walakini... Labda ni ufinyu wa fikra sijajua kitaalamu ipoje hii.

WATAALAMU WA MAMBO HII IPOJE?

...
KING OF BUNDLE! OFAA🔥KIGEZO LAINI YA HALOTEL
Pata bando la mwezi kwa bei nafuu sana 👇
Tsh 8,500 = 10GB (Mwezi)
Tsh 10,000 = 12GB (Mwezi)
Tsh 12,000 = 15GB (Mwezi)
Tsh 13,000 = 17GB (Mwezi)
Tsh 15,000 = 20GB (Mwezi)
Tsh 24,000 = 30GB (Mwezi)

Wasiliana nasi:
0760 404 391
WhatsApp / Simu

Tumepewa BURE na singida Hii iko sawa kweli? Au ni maswala ya uhusiano mzuri....KING OF BUNDLE!  OFAA🔥KIGEZO LAINI YA HA...
16/01/2026

Tumepewa BURE na singida

Hii iko sawa kweli? Au ni maswala ya uhusiano mzuri.
...
KING OF BUNDLE! OFAA🔥KIGEZO LAINI YA HALOTEL
Pata bando la mwezi kwa bei nafuu sana 👇
Tsh 8,500 = 10GB (Mwezi)
Tsh 10,000 = 12GB (Mwezi)
Tsh 12,000 = 15GB (Mwezi)
Tsh 13,000 = 17GB (Mwezi)
Tsh 15,000 = 20GB (Mwezi)
Tsh 24,000 = 30GB (Mwezi)

Wasiliana nasi:
0760 404 391
WhatsApp / Simu

Timu ni yetu sote na wote tunapenda furaha... Ila kwa sasa kuna mgawanyiko wa juu ya kutokuenda uwanjani Lengo ni kufiki...
16/01/2026

Timu ni yetu sote na wote tunapenda furaha... Ila kwa sasa kuna mgawanyiko wa juu ya kutokuenda uwanjani Lengo ni kufikisha ujumbe kwa uongozi

Hapa tunakinzana ila lipi ni sahihi?
...
KING OF BUNDLE! OFAA🔥KIGEZO LAINI YA HALOTEL
Pata bando la mwezi kwa bei nafuu sana 👇
Tsh 8, 500 = 10GB (Mwezi)
Tsh 10,000 = 12GB (Mwezi)
Tsh 12,000 = 15GB (Mwezi)
Tsh 13,000 = 17GB (Mwezi)
Tsh 15,000 = 20GB (Mwezi)
Tsh 24,000 = 30GB (Mwezi)

Wasiliana nasi:
0760 404 391
WhatsApp / Simu

16/01/2026

Huyu mzee kaongea pointi kuntu sana japo kua ni shabiki wa Utopolo ila kaongea vitu muhimu.
..
KING OF BUNDLE! OFAA🔥KIGEZO LAINI YA HALOTEL
Pata bando la mwezi kwa bei nafuu sana 👇
Tsh 8,000 = 10GB (Mwezi)
Tsh 10,000 = 13GB (Mwezi)
Tsh 12,000 = 15GB (Mwezi)
Tsh 13,000 = 17GB (Mwezi)
Tsh 15,000 = 20GB (Mwezi)
Tsh 24,000 = 30GB (Mwezi)

Wasiliana nasi:
0760 404 391
WhatsApp / Simu

Kocha msaidizi ndani ya Simba anaitwa Kristopher Bergman.
16/01/2026

Kocha msaidizi ndani ya Simba anaitwa Kristopher Bergman.

Kila la heri Jean Charles Ahoua kwenye majukumu yako mapya ✊Always next time 🦁...KING OF BUNDLE!  OFAA🔥KIGEZO LAINI YA H...
16/01/2026

Kila la heri Jean Charles Ahoua kwenye majukumu yako mapya ✊

Always next time 🦁
...
KING OF BUNDLE! OFAA🔥KIGEZO LAINI YA HALOTEL
Pata bando la mwezi kwa bei nafuu sana 👇
Tsh 8,000 = 10GB (Mwezi)
Tsh 10,000 = 13GB (Mwezi)
Tsh 12,000 = 15GB (Mwezi)
Tsh 13,000 = 17GB (Mwezi)
Tsh 15,000 = 20GB (Mwezi)
Tsh 24,000 = 30GB (Mwezi)

Wasiliana nasi:
0760 404 391
WhatsApp / Simu

Hii ni barua inasambaa kwenye magroup ya Simba ikizungmzia Msimamo na mgomo wa mashabiki wa Simba juu ya kutohudhuria Uw...
16/01/2026

Hii ni barua inasambaa kwenye magroup ya Simba ikizungmzia Msimamo na mgomo wa mashabiki wa Simba juu ya kutohudhuria Uwanjani kwenye mechi za Simba, mpaka pale viongozi husika watakapojiuzulu.

Wapo sahihi?
..
KING OF BUNDLE! OFAA🔥KIGEZO LAINI YA HALOTEL
Pata bando la mwezi kwa bei nafuu sana 👇
Tsh 8,500 = 10GB (Mwezi)
Tsh 10,000 = 12GB (Mwezi)
Tsh 12,000 = 15GB (Mwezi)
Tsh 13,000 = 17GB (Mwezi)
Tsh 15,000 = 20GB (Mwezi)
Tsh 24,000 = 30GB (Mwezi)

Wasiliana nasi:
0760 404 391
WhatsApp / Simu

SIMBA ILIKUA INAHITAJI BEKI WA KULIA KWA KAPOMBE SIO KUSHOTO.Kwa ufahamu wangu usajili sio kujifurahisha usajili sio kub...
15/01/2026

SIMBA ILIKUA INAHITAJI BEKI WA KULIA KWA KAPOMBE SIO KUSHOTO.

Kwa ufahamu wangu usajili sio kujifurahisha usajili sio kubahatisha, ndani ya Simba hatuna shida ya beki wa kushoto

Lakini hata hivyo tuna wachezaji wawili kwenye hilo eneo na wanacheza vizuri sana kwenye hilo eneo Naby CAMARA na Antony Mligo

Kiwango gani kibabage ambacho anacho cha kuwazidi hawa waliopo?

TUTUMIE AKILI YA MPIRA KWENYE HAYA MAMBO

15/01/2026

Dogo kaongea facts sana... Katema madini kabisa

🎥NGwale sports

KING OF BUNDLE! OFAA🔥KIGEZO LAINI YA HALOTEL
Pata bando la mwezi kwa bei nafuu sana 👇
Tsh 8,000 = 10GB (Mwezi)
Tsh 10,000 = 13GB (Mwezi)
Tsh 12,000 = 15GB (Mwezi)
Tsh 13,000 = 17GB (Mwezi)
Tsh 15,000 = 20GB (Mwezi)
Tsh 24,000 = 30GB (Mwezi)

Wasiliana nasi:
0760 404 391
WhatsApp / Simu

15/01/2026

Ukweli wa Asilimia zote kabisa kaongea mwamba.

🎥 EATV
.
KING OF BUNDLE! OFAA🔥KIGEZO LAINI YA HALOTEL
Pata bando la mwezi kwa bei nafuu sana 👇
Tsh 8,500 = 10GB (Mwezi)
Tsh 10,000 = 12GB (Mwezi)
Tsh 12,000 = 15GB (Mwezi)
Tsh 13,000 = 17GB (Mwezi)
Tsh 15,000 = 20GB (Mwezi)
Tsh 24,000 = 30GB (Mwezi)

Wasiliana nasi:
0760 404 391
WhatsApp / Simu

15/01/2026

Yani kiongozi mmoja anaamua kunyima furaha ya Wanasimba!!!
Timu yetu ina majipu meengi.
..🎥 EATV
KING OF BUNDLE! OFAA🔥KIGEZO LAINI YA HALOTEL
Pata bando la mwezi kwa bei nafuu sana 👇
Tsh 8,000 = 10GB (Mwezi)
Tsh 10,000 = 13GB (Mwezi)
Tsh 12,000 = 15GB (Mwezi)
Tsh 13,000 = 17GB (Mwezi)
Tsh 15,000 = 20GB (Mwezi)
Tsh 24,000 = 30GB (Mwezi)

Wasiliana nasi:
0760 404 391
WhatsApp / Simu

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Simba Jr Sport+255 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share