JEEY ONCE AGAIN

JEEY ONCE AGAIN I'm

Kikosi cha  kitakachoingia kambini Novemba 10, 2025 kwa mchezo wa kirafiki kalenda ya FIFA dhidi ya Kuwait utakaochezwa ...
06/11/2025

Kikosi cha kitakachoingia kambini Novemba 10, 2025 kwa mchezo wa kirafiki kalenda ya FIFA dhidi ya Kuwait utakaochezwa Novemba 14, 2025 Cairo, Misri

04/11/2025
Diamond Platnumz
04/11/2025

Diamond Platnumz

Kundi D hili hapa zinahitajika timu 2 tu za kwenda Robo fainali unahisi ni nani na nani hapa watafuzu???
03/11/2025

Kundi D hili hapa zinahitajika timu 2 tu za kwenda Robo fainali unahisi ni nani na nani hapa watafuzu???

03/11/2025

K**a uko online comment apa maan haikua rahisi kukaa bila internet πŸ˜…πŸ€£πŸ€£πŸ˜…

Klabu ya yanga imepangwa kwenye Group B na warabu watupu aise πŸ”₯HAPO VIPI WANANCHII TUNATOBOA
03/11/2025

Klabu ya yanga imepangwa kwenye Group B na warabu watupu aise πŸ”₯

HAPO VIPI WANANCHII TUNATOBOA

Hongereni my club  Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ¦ Kwa kutinga hatua ya makundi ya CAFCL
29/10/2025

Hongereni my club Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ¦ Kwa kutinga hatua ya makundi ya CAFCL

29/10/2025

β•±β—₯β–ˆβ–ˆβ–ˆβ–ˆβ–ˆβ–ˆβ—£
β”‚βˆ©β”‚πŸŒ„β–€β”‚β–€β–€β”‚
K**a simu yako ni original copy hii 🀣🀣🀣 weka kwenye comment apo

28/10/2025

Watch, follow, and discover more trending content.

Kikosi cha SIMBA asubuhi hii kimeanza safari ya kuelekea mkoani TABORA kwa ajili ya mchezo wa NBC premier league dhidi y...
28/10/2025

Kikosi cha SIMBA asubuhi hii kimeanza safari ya kuelekea mkoani TABORA kwa ajili ya mchezo wa NBC premier league dhidi ya TRA UNITED

mchezo huo utacheza siku ya tarehe 30 (keshokutwa) majira ya saa 10

Mufike salama wapambani wetu

Kwa mujibu wa super computer hizi ndo asilimia za kufuzu hatua ya makundi CAF champions league kwa hizi timu 2 simba sc ...
26/10/2025

Kwa mujibu wa super computer hizi ndo asilimia za kufuzu hatua ya makundi CAF champions league kwa hizi timu 2 simba sc vs nsingizini hotspurs. πŸ‡ΉπŸ‡Ώβœ…οΈβš½οΈπŸ™Œ

SIMBA SC KUISAKA REKODI YA AL AHLY, MAMELODI NA ESPERANCE BARANI AFRIKA...Klabu ya Simba endapo itafuzu hatua ya Makundi...
26/10/2025

SIMBA SC KUISAKA REKODI YA AL AHLY, MAMELODI NA ESPERANCE BARANI AFRIKA...
Klabu ya Simba endapo itafuzu hatua ya Makundi klabu bingwa Afrika itaweka rekodi ya kufuzu hatua hiyo mara (7) mfululizo na hakuna klabu nyingine yoyote tokea nchini Tanzania iliyofanya hivyo isipokuwa "Wekundu wa Msimbazi".
Simba ina nafasi kubwa zaidi ya kuandika rekodi hiyo adhimu kwani wana mtaji mkubwa wa mabao baada ya kuibuka na ushindi wa mabao (3-0) ugenini dhidi ya Nsingizini Hotspurs nchini Eswatini.
Na hii leo wanashuka dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar Es Salaam kukabiliana na Nsingizini Hotspurs majira ya saa 10:00 jioni.
Endapo Mnyama ataweka rekodi hiyo atakuwa anakaribia rekodi zilizowekwa na vilabu vingine vikubwa barani Afrika ikiwemo:-
-Al Ahly - Mara (11)
-Mamelodi Sundowns - Mara (10)
-Esperance de Tunis - Mara (09)
NB: Hiyo ndio maana ya klabu bora namba (5) barani Afrika....

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JEEY ONCE AGAIN posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share