Gut Health CoachTz

Gut Health CoachTz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Gut Health CoachTz, Digital creator, Dar es Salaam.

KARIBU KWA TIBA NA USHAURI KWA CHANGAMOTO ZA:.
👉BAWASIRI
👉CHOO KIGUMU
👉GESU TUMBONI
👉VIDONDA VYA TUMBO
👉ACID REFLUX
👉MATATIZO YA KOO

📞Contact+255(0)718738448

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Mackona's Bpm, Daniel Bukuku
10/09/2025

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Mackona's Bpm, Daniel Bukuku

Ukweli Ambao watu wengi hawaupendi,nimlazima uchukie hatua SI TU kununua dawa lazima uwe tayari kufanya mabadiliko ya dh...
24/07/2025

Ukweli Ambao watu wengi hawaupendi,nimlazima uchukie hatua SI TU kununua dawa lazima uwe tayari kufanya mabadiliko ya dhati juu ya Mtindo wako wa maisha.

K**a wewe unakaa zaidi ya siku 3 paka week haupati choo na ukipata choo kinakua ni kigumu k**a cha mbuzi, Unatumia nguvu...
04/07/2025

K**a wewe unakaa zaidi ya siku 3 paka week haupati choo na ukipata choo kinakua ni kigumu k**a cha mbuzi, Unatumia nguvu, na kujikamua paka unatokwa na damu sehmu ya haha kubwa,

Au unapata maumivu, miwasho na umetokwa na kinyama sehemu ya haja kubwa ( Bawasiri) kwa sababu ya choo kigumu.

Usuendelee kuteseka na hiyo hali, inaweza kuleta madhara makubwa k**a kansa au saratani ya utumbo mmpana au saratani ya Puru chukua hatua mapema.

Kwa msaada zaidi DM free
Au contact us 0718738448
Dr Alfred

Badilisha mitindo ya maisha yako, Zingatia mambo ya fuatayo kwa afya yako...✍- Epuka kutumia vyakula vyenye sukari, chum...
03/07/2025

Badilisha mitindo ya maisha yako, Zingatia mambo ya fuatayo kwa afya yako...✍

- Epuka kutumia vyakula vyenye sukari, chumvi na mafuta mengi.

- Fanya mazoezi ya mwili, Usibweteke mwili choma, "bad cholesterol" Katika mwili wako,

- Usinywe pombe kupitakiasi, Epuka matumizi ya pombe kali, Kunywa maji kukata kiu nasio pombe au soda.

- Usitumie dawa pasipo maelekezo ya dakitari, kwa afya ya figo yako.

- Jali afya yako ya akili, Epuka uraibu wa kutizama video za ngono, Kusagana na upigaji wa punyeto,

- Fanya check up walau mara 2 kwa mwaka, hii itakusaidi kujuwa matatizo yaliyo jificha katika mwili,

- pumzika walau masaa 7-8 nimuhimu kwa afya yako ya akili,

Nb: Swala la kubadilisha mitindo wa maisha ni jambo la maamuzi nakufanyia utekelezaji zingatia afya yako, ASANTE SANA 🙏

Tumekuwa tukishauriwa kutimia Matago kwa wingi na wataalam wa lishe baada ya check up ya mwili.JE..!? Unazijuwa siri za ...
02/07/2025

Tumekuwa tukishauriwa kutimia Matago kwa wingi na wataalam wa lishe baada ya check up ya mwili.

JE..!? Unazijuwa siri za kula Matango au kunywa juice ya tango..?

Ngoja nikujuze jambo Leo...

Matango yanayo kiwango kikubwa cha vitamini K, C na A, Napia zinapatikana Nyuzi Nyuzi, Madini ya Potasiamu na calcium kwa wingi..

Unywaji juice ya tango wakati wa usiku baada ya chakula cha Usiku hupunguza kwa kiwango kikubwa harari ya kupata saratani ya tezi dume kwa wanaume na saratani ya mlango wa kizazi kwa wanawake,

Kulingana na madini muhimu katika afya ya ngozi tango husaidia kun'garisha ngizi yako, Ukiwa unakula tango mara kwa mara Nimazuri kwa nguzi yako.

Matango yana flavonoids, ambayo ina nguvu ya kuboresha katika afya ya akili. Inaboresha kazi ya ubongo na huongeza kumbukumbu.

Tango lina nyuzinyuzi nyingi na maji, ambavyo vyote ni muhimu kwa usagaji chakula, Vilevile huzuia kiungulia, Kunywa juisi ya tango kila siku usiku kabla ya kulala husaidia kutibu vidonda vya tumbo.

Je, wewe upo na utaratibu wa kutumia matango hata kwenye saladi..??

02/07/2025
01/07/2025

Usile Kila kitu unacho Kutana na cho

Kwenye Maisha Yako,Hakikisha UOGA Iwe Ni Bidhaa Ghali Sana Kwako Wewe Kuinunua.Watu Wasikuuzie Au Usiwe Nayo Kichwani.
30/06/2025

Kwenye Maisha Yako,Hakikisha

UOGA Iwe Ni Bidhaa Ghali Sana Kwako Wewe Kuinunua.

Watu Wasikuuzie Au Usiwe Nayo Kichwani.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gut Health CoachTz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share