Gut Health Hubtz

Gut Health Hubtz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Gut Health Hubtz, Digital creator, Dar es Salaam.

🧑‍⚕️ Gut Doctortz
🧿Mtabibu wa matatizo ya mfumo wa Mmeng'enyo wa chakula.
🧿Nawasaidia watu wenye matatizo ya ,Bawasiri | Choo kigumu | GesiTumboni VidondaTumbo Acid reflux | Matatizo ya Koo,
🧿Matibabu ya kisasa na Salama.
📲Contact+255718738448

11/06/2026

Je upo tayari kupona chamgamoto ya acid reflux…

11/06/2026

Je unapata makohozi kwenye koo??
Au kuna kuna hali ya kitu kinakwama kwenye koo lako??

11/06/2026

Hizi ndizo faida za Ndizi mzizi naa sio tu kwa watu wenye madonda ya tumbo na acid reflux Bali zinawasaidia paka wale wenye changamoto za Presha....
Fuata maelekezo..

10/06/2026

Tatizo la acid reflux huwa linaanza kidogo kigogo ndio maana dalili zake wwngi wanazipuuza na badae wanashangaa hali inakua mbaya zaidi..

Wewe usifanye hivyo dalili yoyote unayo pitia ni vyema kuchukua hatua mapema kabla madhara hayajawa malubwa zaidi.

10/06/2026

Afya yako ili iwe salama kwanza inaanza na chakula unacho kitumia kila siku..
Ukiona unasumbuliwa sana na unajaribu dawa nyingi huponi muhimu anza kubadili namna unavyo kula.

09/06/2026

Acha kutumia dawa kamq chakula tumia chakula k**a dawa!!

09/06/2026

Vyakula hivi ndivyo vinavyo kufanya usipone matatizo ya acid reflux na kubaki jinsi ulivyo…
Huwezi kupona acid reflux kwenye vyakula vile vile vilivyo sababisha tatizo lako…!!!

08/06/2026

Matatizo haya ya koo chanzo kikubwa ni acid reflux na isipo dhibitiwa ipasavyo inaweza kuwa na madhara makubwa zaidi..

08/06/2026

Je unatumia aina hii ya vyakula??
Kwakufanya hivyo unajiweka hatarini kuwa na matatizo ya acid reflux…

07/06/2026

Je unateseka na tatizo la Bawasiri??

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gut Health Hubtz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share