16/06/2026
π πππππ ππ ππππππ ππ πππ, πππππππ, ππππππ ππ πππ
ππππ ππ πππ ππππ
π
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Ndugu Kenani Laban Kihongosi, anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi katika Mkoa wa Iringa kuanzia tarehe 18 hadi 21 Juni, 2026.
ποΈ 18 Juni - Ruaha Mbuyuni
ποΈ 19 Juni - Kilolo
ποΈ 20 Juni - Iringa Mjini
ποΈ 21 Juni - Mufindi
Endelea kufuatilia taarifa na matukio mbalimbali ya ziara hiyo.
Tembelea: www.ccm.or.tz
________