Sinema Zetu HD

Website

Sinema Zetu HD Ukurasa rasmi wa chaneli ya Sinema Zetu inayomilikiwa na Azam Media Ltd (CH106) | Akaunti Mama ni AzamTV Burudani

Hayawi hayawi sasa yamekuwa..Nani kuvaa taji la  ?    Ni Jumapili hii macho na masikio ni kwenye 'skrini' kupitia Chanel...
16/09/2026

Hayawi hayawi sasa yamekuwa..Nani kuvaa taji la ?

Ni Jumapili hii macho na masikio ni kwenye 'skrini' kupitia Chaneli ya kuanzia saa 2:00 usiku.

ARUSHAAAA | Hii ni kubwa kuliko. Hapa Mr Cheeks pale wachonga kibaooo wa    Je, unaisubiri 'show' ya msanii gani zaidi?U...
16/09/2026

ARUSHAAAA | Hii ni kubwa kuliko. Hapa Mr Cheeks pale wachonga kibaooo wa

Je, unaisubiri 'show' ya msanii gani zaidi?

Usikose hii kali kuliko, pale General Tyres, Njiro A-Town, utaisikiliza kupitia na utaitazama kupitia

16/09/2026

Ohoo Tanya amekamatwa na polisi sababu ya kumteka Uhuru..🙃

16/09/2026

Martha nakuita mara tatu🙌😅huyu bibi kaleta kibenteni kwenye nyumba ya mume wake khaaa.

15/09/2026

Kumekucha Juliana kaghaili kumuachia baba mtoto wake, Prisca ajipange kwa mashambulizi..😅

15/09/2026

Eddah umeyataka kupenda mpenzi wa mtu acha yakukute😑Victor safi sana maana amezidi kujipa umuhimu huyo..😅

15/09/2026

Kagia anaishi maisha ya wasiwasi sana sababu ya kujua siri za watu wengi..🥺

15/09/2026

Mapenzi yanamfanya Miki ajione ana nguvu ya kuibeba dunia😅ngoja yamkute.

15/09/2026

Dah aisee Kagia ajifichhe tu maisha yake yako hatarini sana.😑

15/09/2026

Ohoo kumbe Boga yuko hai na ana fya njema kabisa sasa sijui itakuaje..😑

Address

13656 Nelson Mandela Road
Dar Es Salaam
12103

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sinema Zetu HD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category