SautiNote

SautiNote Your trusted source for Technology, Politics, Analysis & Investigations, Social Affairs, Culture & Society. Visit www.sautinote.com for more

Welcome to Sauti Note β€” an independent media platform focused on politics, accountability, investigations, technology, culture, and society. We are committed to delivering factual, balanced, and unbiased reporting that informs, educates, and sparks meaningful public conversations. Our goal is to go beyond headlines by providing in-depth analysis, investigative stories, and thoughtful commentary on the issues shaping Tanzania and the world. Through videos, articles, documentaries, and discussions, we explore topics that matter β€” from leadership, governance, and public accountability to digital culture, innovation, social change, and the realities of everyday life. At Sauti Note, we believe journalism is more than breaking news. It is about truth, responsibility, critical thinking, and giving people a voice.

πŸ”Ή Politics & Governance
πŸ”Ή Accountability & Investigations
πŸ”Ή Technology & Digital Culture
πŸ”Ή Culture & Society
πŸ”Ή Analysis, Commentary & Documentaries

Subscribe and join a growing community that values truth, independent thinking, and informed discussion. Visit: www.sautinote.com

31/07/2026

Madam Pink atoa ufafanuzi.

31/07/2026

Msanii wa Vichekesho Tanzania Afunguka hayo kupitia kurasa yake ya Instagram.

31/07/2026

Watu na ndoa zao bhana πŸ˜…πŸ™Œ

07/07/2026

: Binti ambaye Jina lake halijathibitishwa, arecord video na kumkosoa Rais wa Tanzania akidai hatendi Haki kwa Wananchi.

Binti huyu ameshare clip hii katika Mitandao ya Kijamii akiomba Uwajibikaji kwa Viongozi, Haki na Uhuru wa Kujieleza.

Mtandao wa Facebook umethibitisha kuwa Rasmi umeanza Utaratibu wa Kuondoa/Kusitisha kwa Muda Programu za Kulipwa (Conten...
14/06/2026

Mtandao wa Facebook umethibitisha kuwa Rasmi umeanza Utaratibu wa Kuondoa/Kusitisha kwa Muda Programu za Kulipwa (Content Monetisation, Stars, Creator Storefront) kwa Kurasa zote zitakazo jaribu kupost Maudhui ya Aina moja kwa zaidi ya Mara moja katika nyakati tofauti ili kujipatia Mapato zaidi (Revenue), Ushawishi (Engagements) na Watazamaji (Views).

Meta Imesema kuwa Baadhi ya Kurasa zimekuwa zikijaribu kujipatia kipato zaidi kwa maudhui ya kujirudia ambapo ni kinyume na Partner Monetisation Policies, Meta imesisitiza Content Creators kushare maudhui ya aina moja mara moja.

Aidha, Meta imethibitisha kuwa Baadhi ya Programu zake hazitopatikana Nchini Tanzania kutokana na sheria za Nchi na Makubaliano ya Serikali.

Taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa aliyekuwa Mkuu wa Wakala wa Uchunguzi wa Fedha wa Equatoria...
06/06/2026

Taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa aliyekuwa Mkuu wa Wakala wa Uchunguzi wa Fedha wa Equatorial Guinea, Baltasar Ebang Engonga, ameachiwa huru kutoka gerezani zimeonekana kukosa uthibitisho rasmi, huku vyanzo mbalimbali vya uhakiki wa taarifa vikizitaja k**a uvumi au madai yasiyothibitishwa.

Engonga alipata umaarufu mkubwa duniani mwaka 2024 baada ya mamia ya video zake za faragha kusambaa mtandaoni. Hata hivyo, kesi iliyomfikisha mahak**ani haikuhusiana na video hizo, bali ilihusu tuhuma za ubadhirifu wa fedha za umma, matumizi mabaya ya madaraka na makosa mengine ya kifedha.

Katika wiki za hivi karibuni, Machapisho katika Majukwaa ya Mitandao ya Kijamii na Blogs yamekuwa yakidai kuwa Engonga ameachiwa huru. Hata hivyo, uchunguzi wa madai hayo umeonyesha kuwa hakuna tamko rasmi kutoka serikali ya Equatorial Guinea, mahak**a au mamlaka za magereza linalothibitisha kuachiliwa kwake. Baadhi ya taasisi za uhakiki wa habari zimeeleza wazi kuwa madai hayo ni ya uongo au hayana ushahidi wa kutosha.

πŸ–‹οΈ

03/06/2026

: Msanii wa Chief Godlove alia kwa UCHUNGU, Aomba kurejeshewa YouTube yake.

01/06/2026

Ukisikia Mwisho wa Ubaya ni Aibu, ndio hii sasa πŸ€”πŸ™Œ

01/06/2026

Wazazi Nchini Tanzania wakerwa na maudhui haya yaliyochapishwa Mitandaoni yakimuonyesha Mzazi (Baba) akizungumza na Bintiye kwa namna yao.

Wazazi wadai yanaharibu Tamaduni, Heshima na Maadili kwa watoto. Wazazi wadai maudhui haya na mengine fanani yanapaswa kukemewa vikali na wahusika Kuonywa au kuchukuliwa hatua.

Nini Maoni yako Mwana SautiNote? πŸ€”

Soma zaidi: https://sautinote.com/social/maadiliwazazi

Miamba wanne katika Picha moja, nani aina yake ya Uongozi ilikukosha zaidi? πŸ€”πŸ™Œ
24/05/2026

Miamba wanne katika Picha moja, nani aina yake ya Uongozi ilikukosha zaidi? πŸ€”πŸ™Œ

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SautiNote posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share