NjooDigital

NjooDigital we deal with digital marketing,video production,photoshoot and printing

Karibu   Tunasaidia biashara kujitofautisha na kuvutia kupitia kampeni za kibunifu na mikakati mahiri ya masoko inayotoa...
05/09/2025

Karibu Tunasaidia biashara kujitofautisha na kuvutia kupitia kampeni za kibunifu na mikakati mahiri ya masoko inayotoa matokeo halisi na kufanya biashara yako isipuuzwe...




Karibu   Tunasaidia biashara kujitofautisha na kuvutia kupitia kampeni za kibunifu na mikakati mahiri ya masoko inayotoa...
04/09/2025

Karibu Tunasaidia biashara kujitofautisha na kuvutia kupitia kampeni za kibunifu na mikakati mahiri ya masoko inayotoa matokeo halisi na kufanya biashara yako isipuuzwe...

Logo na branding vina uhusiano wa karibu, lakini si kitu kimoja.1. LogoNi alama au mchoro unaotambulisha biashara, bidha...
02/09/2025

Logo na branding vina uhusiano wa karibu, lakini si kitu kimoja.

1. Logo

Ni alama au mchoro unaotambulisha biashara, bidhaa, au huduma.

Hutumika kama utambulisho wa haraka kwenye macho ya watu.

Mfano: nembo ya Apple yenye tunda lililong’atwa, au alama ya Nike yenye tikii.

Vipengele vyake ni pamoja na: rangi, fonti, umbo, na picha.

Kazi yake kuu ni kumfanya mtu aione na kuitambua kampuni haraka.

2. Branding

Ni mtazamo mzima wa kampuni au bidhaa unaojengeka akilini mwa watu kutokana na mawasiliano, ubora wa huduma, maadili, na ujumbe unaotolewa.

Inajumuisha: rangi, sauti ya mawasiliano, kauli mbiu, uzoefu wa mteja, maadili ya kampuni, na hata jinsi bidhaa inavyopakiwa.

Branding si tu kitu kinachoonekana, bali ni hisia na mtazamo wa wateja kuhusu kampuni yako.

Mfano: Coca-Cola si tu nembo yake nyekundu, bali pia furaha, ukaribu, na kumbukumbu wanazozihusisha nayo.

Kwa ufupi:

Logo na ishara ya kutambulisha.

Branding na utu na sifa za jumla za biashara yako

Are you looking for brand identity or logo design for your business? We are offering this type of logo designContact us ...
21/08/2025

Are you looking for brand identity or logo design for your business?
We are offering this type of logo design

Contact us now...🤗

Jinsi ya kuandaa ofa yako...
17/07/2025

Jinsi ya kuandaa ofa yako...

Satisfied customer😊
15/07/2025

Satisfied customer😊

Happy New Week! May this week bring you joy, productivity, and success in all your endeavors...
14/07/2025

Happy New Week!
 May this week bring you joy, productivity, and success in all your endeavors...

tumia website hizi kuPata font....
03/07/2025

tumia website hizi kuPata font....

Hello July😊
01/07/2025

Hello July😊

Jifunze kitu hapa....
29/06/2025

Jifunze kitu hapa....

Match dayKwa mahitaji ya posters na design mbalimbali pamoja na printing wasiliana nasi
25/06/2025

Match day

Kwa mahitaji ya posters na design mbalimbali pamoja na printing wasiliana nasi

Derby day  v
25/06/2025

Derby day v

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 20:00
Thursday 09:00 - 20:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 20:00

Telephone

+255713075793

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NjooDigital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to NjooDigital:

Share