She Rises Africa

She Rises Africa She Rises Africa ✨
Tunawawezesha wanawake wa Kiafrika kujithamini, kujiamini na kujenga maisha yenye heshima na kusudi kupitia ebooks na guides zetu. 🌺

Umechoka kujisahau kwa ajili ya wengine?HER WORTH β€” JITHAMINI KWANZA ni mwongozo wa kumsaidia mwanamke kujenga thamani y...
30/07/2026

Umechoka kujisahau kwa ajili ya wengine?

HER WORTH β€” JITHAMINI KWANZA ni mwongozo wa kumsaidia mwanamke kujenga thamani yake, kujiamini, kuweka mipaka na kuchagua mahusiano yanayomjenga.

✨ Anza safari ya kujiona kwa thamani mpya.
https://selar.com/j672576d76

Bonyeza hapa ujifunze zaidi na upate nakala yako.

Je, umechoka kuumia kwenye mahusiano yanayokufanya ujione huna thamani?Mabadiliko makubwa huanza siku unapoamua kujitham...
30/07/2026

Je, umechoka kuumia kwenye mahusiano yanayokufanya ujione huna thamani?

Mabadiliko makubwa huanza siku unapoamua kujithamini.

Ndani ya HER WORTH utajifunza:

βœ… Jinsi ya kujenga self-worth yako.
βœ… Jinsi ya kuacha kuvumilia kisichokujenga.
βœ… Jinsi ya kuweka mipaka yenye afya.
βœ… Jinsi ya kuchagua mahusiano yenye heshima.

πŸŽ‰ Offer ya Uzinduzi

/TSh 27,000/

Leo pata HER WORTH kwa TSh 17,000 tu.

πŸ“– Pakua ebook yako hapa:
https://selar.com/j672576d76

❀️ Follow She Rises Africa kwa mafunzo ya kila siku.

HER WORTH Jinsi ya Kuacha Kuvumilia Kisichokujenga, Kurudisha Thamani Yako na Kuchagua Upendo Wenye Heshima. Je, umechoka kuishi kwenye mahusiano yanayokufanya ujihisi huna thamani? HER WORTH ni mwongozo wa mwanamke wa Kiafrika anayetamani kujijua upya, kujenga self-worth, kuweka mipaka yenye afya,....

Unaweza kuwa unampenda mtu... lakini ukawa unajiumiza.Si kila mahusiano yanastahili kuokolewa.Wakati mwingine...Kinachoh...
30/07/2026

Unaweza kuwa unampenda mtu... lakini ukawa unajiumiza.

Si kila mahusiano yanastahili kuokolewa.

Wakati mwingine...

Kinachohitaji kuokolewa ni wewe mwenyewe.

Acha kuamini kwamba:
"Nikivumilia zaidi, atanibadilishia."

Watu wengi hawabadiliki kwa sababu umevumilia.

Wanabadilika pale wanapoamua kubadilika.

Na k**a hawaamui...

Usipoteze miaka yako ukisubiri.

Jithamini kiasi kwamba usikubali kubaki mahali ambapo unalia zaidi kuliko unavyotabasamu.

Kumbuka...

🌸 Mtu sahihi hatakulazimisha uchague kati ya amani yako na mapenzi yake.

πŸ’› HER WORTH ni mwongozo wa mwanamke wa Kiafrika anayejifunza kujithamini, kupona kihisia na kujenga mahusiano yenye heshima.

πŸŽ‰ Offer ya Uzinduzi

/TSh 27,000/

Leo pata HER WORTH kwa TSh 17,000 tu.

πŸ“– Pata HER WORTH hapa:
https://selar.com/j672576d76

πŸ“² Maswali? WhatsApp: +255 760 792 616

❀️ Follow Page ya She Rises Africa kwa mafunzo ya kila siku kuhusu kujithamini, mahusiano yenye afya na ukuaji wa mwanamke.

Je, umechoka kujitoa kwa watu ambao hawakuthamini?Labda tatizo si kwamba hupendwi...Labda hujawahi kufundishwa jinsi ya ...
29/07/2026

Je, umechoka kujitoa kwa watu ambao hawakuthamini?

Labda tatizo si kwamba hupendwi...

Labda hujawahi kufundishwa jinsi ya kujithamini kwanza.

Wanawake wengi hufikiri upendo unahitaji kuvumilia kila kitu.

Lakini ukweli ni huu:

πŸ’› Mwanamke anayejithamini hachagui mahusiano kwa sababu anaogopa kuwa peke yake. Anachagua mahusiano yanayompa heshima, amani na thamani.

Ndiyo maana tuliandika HER WORTH β€” mwongozo wa mwanamke wa Kiafrika anayejifunza kujenga self-worth, kuweka mipaka yenye afya na kuchagua upendo wenye heshima.

Ndani ya ebook hii utajifunza:
βœ… Jinsi ya kujenga self-worth yako.
βœ… Jinsi ya kuacha kuvumilia kisichokujenga.
βœ… Jinsi ya kutambua red flags mapema.
βœ… Jinsi ya kuweka mipaka bila kuhisi hatia.
βœ… Jinsi ya kuchagua mahusiano yenye heshima.

πŸŽ‰ Offer ya Uzinduzi

/TSh 27,000/

Leo pata HER WORTH kwa TSh 17,000 tu.

πŸ“– Pakua ebook yako hapa:
https://selar.com/j672576d76

πŸ“² Maswali? WhatsApp: +255 760 792 616

❀️ Follow She Rises Africa kwa mafunzo ya kila siku kuhusu kujithamini na mahusiano yenye afya.

HER WORTH Jinsi ya Kuacha Kuvumilia Kisichokujenga, Kurudisha Thamani Yako na Kuchagua Upendo Wenye Heshima. Je, umechoka kuishi kwenye mahusiano yanayokufanya ujihisi huna thamani? HER WORTH ni mwongozo wa mwanamke wa Kiafrika anayetamani kujijua upya, kujenga self-worth, kuweka mipaka yenye afya,....

Usimfanye mtu kuwa kipaumbele... wakati wewe ni chaguo lake la mwisho.Kuna wanawake wanaopoteza miaka mingi wakisubiri m...
29/07/2026

Usimfanye mtu kuwa kipaumbele... wakati wewe ni chaguo lake la mwisho.

Kuna wanawake wanaopoteza miaka mingi wakisubiri mtu abadiliki.

Wanasubiri:
β€’ Aanze kuwajali.
β€’ Aanze kuwaheshimu.
β€’ Aanze kutimiza ahadi.

Lakini ukweli ni huu...

Huwezi kumbadilisha mtu ambaye haoni sababu ya kubadilika.

Badala ya kusubiri mtu akubadilikie...

Anza kujibadilisha wewe.

Jijenge.
Jithamini.
Weka mipaka.
Chagua amani yako.

Mara nyingi, mabadiliko makubwa huanza pale unapochagua kujiheshimu kuliko kuendelea kuvumilia.

πŸ’› HER WORTH itakusaidia kujenga self-worth, kupona kihisia na kuchagua mahusiano yanayokupa heshima.

πŸŽ‰ Offer ya Uzinduzi

/TSh 27,000/

Leo pata HER WORTH kwa TSh 17,000 tu.

πŸ“– Nunua sasa:πŸ‘‡
https://selar.com/j672576d76

πŸ“² Maswali? WhatsApp: +255 760 792 616

🌸 Follow Page ya She Rises Africa kwa mafunzo ya kila siku kuhusu kujithamini, mahusiano yenye afya na ukuaji wa mwanamke.

28/07/2026

Address

Dar Esalam
Dar Es Salaam
12111

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when She Rises Africa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share