Nukta Africa

Nukta Africa Nukta Africa is a digital media and technology company which specialises in research, training and d

Leo tunasherehekea maadhimisho Siku ya Takwimu Duniani 2025. Mwaka huu tunapewa wajibu wa kuchochea mabadiliko chanya kw...
20/10/2025

Leo tunasherehekea maadhimisho Siku ya Takwimu Duniani 2025. Mwaka huu tunapewa wajibu wa kuchochea mabadiliko chanya kwa kutumia takwimu na data bora kwa kila mmoja wetu.

Data ni maisha yetu na ni haki ya kila mmoja. Hii ni sababu kuu inayofanya Nukta Africa tuwekeze zaidi katika mbinu za uwasilishaji data (Data Storytelling techniques) zitakazotoa fursa kwa kila mtu kuelewa data husika kirahisi.

Media plays a major role in promoting inclusive development in our society. This is our mission at Nukta Africa. Our tea...
14/10/2025

Media plays a major role in promoting inclusive development in our society. This is our mission at Nukta Africa. Our team is joining other fellow Tanzanians to commemorate the legacy of the late Mwl Julius Kambarage Nyerere.

11/10/2025

Pata dondoo za mapishi kutoka JikoPoint kila siku kwa video na text na upate ofa kupunguziwa bei ya Press Cooker la umeme original kutoka WestPoint.

Watoto takriban 14,000 huzaliwa kila mwaka na ugonjwa wa Sikoseli ama Selimundu nchini Tanzania. Mwandishi wetu Fatuma H...
11/10/2025

Watoto takriban 14,000 huzaliwa kila mwaka na ugonjwa wa Sikoseli ama Selimundu nchini Tanzania. Mwandishi wetu Fatuma Hussein anaangazia ugonjwa huu kwa undani ikiwemo namna ya kuwalea watoto wenye maradhi hayo.

Usikose kusoma Ripoti Maalum kutoka Nukta Habari kupitia www.nukta.co.tz kuanzia Jumatatu ijayo.

11/10/2025

USIKOSE KUSOMA RIPOTI MAALUMU HII.

'Tunachokifahamu kuhusu ugonjwa
wa sikoseli Tanzania'.

Jumatatu, Oktoba 13, 2025.

Ndani ya : https://nukta.co.tz/

Bando lako, muda wako lakini bado unapata shida kupata maudhui yanayojibu mahitaji yako. Kwanini upate stress kwenye jam...
11/10/2025

Bando lako, muda wako lakini bado unapata shida kupata maudhui yanayojibu mahitaji yako. Kwanini upate stress kwenye jambo lako?
Tuna content kibao za kuwasaidia vijana kupiga hatua kibiashara, kazini, jikoni na kielimu. Kila story kwetu ni maisha ya watu. Tufuatilie Nukta, Nukta Fakti na JikoPoint kupata madini.

Ulikuwa unafahamu haya? ๐Ÿ•ต๏ธโ€โ™€๏ธ
11/10/2025

Ulikuwa unafahamu haya? ๐Ÿ•ต๏ธโ€โ™€๏ธ

Mkuu wa Mafunzo na Utafiti wa Nukta Africa, Daniel Samson atakuwa live Radio Kwizera akielezea mbinu zinazosaidia kubain...
30/09/2025

Mkuu wa Mafunzo na Utafiti wa Nukta Africa, Daniel Samson atakuwa live Radio Kwizera akielezea mbinu zinazosaidia kubaini habari za uzushi. Usikose kufuatilia kipindi hiki asubuhi hii.

Inaumiza kiasi gani ukipewa taarifa ya uongo na mtu uliyemwamini? ๐Ÿ˜– Sasa jaribu kuwaza k**a taarifa ya uongo inahusu uchaguzi. ๐Ÿคฏ

Ungana na Marco BP () na Joyce Hamka () ufahamu namna ya kuepuka habari za uongo wakiwa na Mkuu wa Mafunzo ya Utafiti kutoka Daniel Samson akitufahamisha zaidi.

Nukta Africa, in collaboration with the German Agency for International Cooperation (GIZ), today kicked off a three-day ...
17/09/2025

Nukta Africa, in collaboration with the German Agency for International Cooperation (GIZ), today kicked off a three-day training in Tanga on Scientific Data Storytelling and Professional Reporting for JET Members and Correspondents to enhance the visibility of the PWANI YETU Project.

๐Ÿ“š On the first day, participants learned about the importance of marine and coastal conservationโ€”a vital foundation for biodiversity, climate resilience, and sustainable livelihoods.

This training aims to strengthen the mediaโ€™s role in raising public awareness, documenting project achievements, promoting transparency, and building community ownership of conservation efforts in Tanzania.

The PWANI YETU โ€“ Our Coast Project, which the training supports, is a multi-donor initiative co-financed by the European Union (EU) and the German Federal Ministry for the Environment, Nature Conservation, Nuclear Safety, and Consumer Protection (BMUV). It is implemented by GIZ in close collaboration with the Government of Tanzania and other partners.

๐ŸŒ The project focuses on conserving and sustainably managing marine and coastal ecosystems in Mkinga, Kilwa, Rufiji, and Mafia, which are critical for fisheries, tourism, the blue economy, and long-term community wellbeing.

Mawlid al-Nabi Mubarak! May the Prophet's light guide your way, timeless teachings fill your life with wisdom and clarit...
05/09/2025

Mawlid al-Nabi Mubarak! May the Prophet's light guide your way, timeless teachings fill your life with wisdom and clarity.
Let us follow the path of kindness and compassion, inspired by the Prophet.

Happy Maulid Day to all.

Want to make smarter decisions in media, communication, and marketing? ๐Ÿš€ The Media Pulse brings you the latest trends, i...
02/09/2025

Want to make smarter decisions in media, communication, and marketing?

๐Ÿš€ The Media Pulse brings you the latest trends, insider insights, and actionable tips every month โ€“ so you can stay ahead of the curve and turn information into results.

Subscribe now and give your strategies a boost! โžก๏ธ https://shorturl.at/VeY2U

30/08/2025

Every dream starts small, just a dot. At Nukta Africa, that dot becomes a story, and that story grows into impact. ๐ŸŒฑโœจ"

Nukta Africa isnโ€™t just the media but itโ€™s where voices are amplified, stories matter, and growth never stops. ๐Ÿš€๐ŸŒ

From a single idea to a nationwide movement, Nukta Africa is where growth happens, one step at a time. ๐Ÿ’ก๐Ÿ“ˆ

At Nukta Africa, your work isnโ€™t just seen it grows. Together, we turn effort into success.
๐Ÿš€ Your platform. Your growth. Your future.

Address

1st Floor, House 12, Mwinjuma Road, Near Kinondoni Vijana
Dar Es Salaam
14108

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:30
Tuesday 08:00 - 17:30
Wednesday 08:00 - 17:30
Thursday 08:00 - 17:30
Friday 08:00 - 17:30
Saturday 09:00 - 15:00

Telephone

+255677088088

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nukta Africa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Nukta Africa:

Share