Jogging Updates

Jogging Updates ULIPO TUPO
KWA HABARI NA MATUKIO YOTE YA MICHEZO WASILIANA NASI
0716464604 / 0682097193

BONANZA BONANZA BONANZA _________________________________TAARIFA KWA UMMA NA WANA JOGGINGWakali wa  ''A'' wana wahabaris...
03/11/2024

BONANZA BONANZA BONANZA
_________________________________

TAARIFA KWA UMMA NA WANA JOGGING
Wakali wa ''A'' wana wahabarisha wapenda Michezo na wapenda Jogger wote kutoka Viunga Mbalimbali vya ndani na nje ya mkoa wa Dar es Salaam kuwa December sasa ni yao Rasmi tarehe 15 Dec 2024, Wanatarajia Kufanya Bonge la Bonanza Wewe Mdau na mpenda mazoezi hili si la kukosa, Unaambiwa Hivi na

Instagram, Youtube

Hongera Sana Kaka 0 Mwakiposa Afisa Habari   'A' Kwa Kuongeza Umri Mungu akufanyie Wepesi kwenye Harakati zako   BONANZA...
02/11/2024

Hongera Sana Kaka 0 Mwakiposa Afisa Habari 'A' Kwa Kuongeza Umri Mungu akufanyie Wepesi kwenye Harakati zako
BONANZA BONANZA
Kituo kinachofuata ni 'A' DECEMBER

17/10/2024

Kwa wale wote wanaoamini hakuna haja ya Uthibitisho ili Kuamini, Lakini kwa Wale wote wasioamini hakuna Uthibitisho utakaowezekana ili Kuamini.
Hakuana haja ya Kumshikia Mtu Bakora ila wakati ukifika utakiri mwenyewe kwa Muda wako.
Ndugu Swalihina Ally katibu wa Dodoma fitness jogging Akihamasisha kwenye mkutano wa Wanahabari na Maafisa Habari ulioandaliwa na Amkafitness Club Kuelekea kwenye Siku ya Bonanza lao Tarehe 24 Nov 2024 Kwenye Viwanja vya Mwembeyanga Temeke Dar es Salaam.

ENDELEA KUFUATILIA PAGE ZETU KWA UPDATES ZAIDI
Facebook
Instagram
Youtube JOGGING UPDATES

TAARIFA MUHIMU KUTOKA Amkafitness Club_________________________________________Rasmi leo Uongozi wa Amkafitness Club Ume...
17/10/2024

TAARIFA MUHIMU KUTOKA Amkafitness Club
_________________________________________
Rasmi leo Uongozi wa Amkafitness Club Umemteua Mwenyekiti wa Iringa Jogging Club, Ndugu Sam Sugar Kuwa Balozi wa Bonanza hilo la Amkafitness Club Linalotarajiwa Kufanyika Tarehe 24 Nov 2024 Viwanja vya Temeke Mwembeyanga Jijini Dar es Salaam.

ENDELEA KUWA NASI;
Ili kukusogezea Habari Tofauti tofauti na Updates Mbalimbali
FOLLOW PAGE ZETU
FACEBOOK
INSTAGRAM
YOUTUBE JOGGING UPDATES

16/10/2024

Familia ya Onestrongfamily Unity yazidi Kuimalisha Umoja wao na kuzidi kutanua Mbawa zao kwenye Mshik**ano wao.
Imeongeza mwanafamilia Mpya na Kuitambulisha Rasmi kwenye Umoja wa Wanafamilia ya Onestrongfamily Unity Kilabu Hicho kilichotambulishwa kwenye Maskani ya Amkafitness Club Temeke Dar es Salaam, ni Kilabu yenye Maskani yake Mkoani Morogoro kimejiunga Rasmi kwenye Familia ya Onestrongfamily Unity na kukamilisha Vilabu Saba [7] kwenye Umoja huo

Kwa Updates zaidi Tufollow
Facebook
Instagram
Youtube Jogging Updates

16/10/2024

BONANZA Amkafitness Club 24 Nov 2024

Kadri siku zinavyokwenda tunataka kufanya jambo liwe Jipya na liwe k**a Muongozo wa Mchezo wetu huu wa Jogging kwa sasa.

Mwenyekiti wa Chama cha Mchezo wa Jogging Wilaya ya Temeke [ TEJA ] Ndugu Rashidi Pazi Mvogogo akihamasisha Wanahabari na Maafisa Habari wa Vilabu tofauti tofauti kuhakikisha wanapaza Sauti juu ya Bonanza kubwa lililoandaliwa na Amkafitness Club linalotarajiwa Kufanyika Tarehe 24 Nov 2024 Katika Viwanja vya Temeke Mwembeyanga Jijini Dar es Salaam

Endelea kuwa na sisi karibu ili kukujuza Habari Tofauti tofauti
FOLLOW
Facbook
Instagram
Youtube Jogging Updates

Kuelekea Siku ya   Bonanza Siku ya Tarehe 20 Oct 2024 Familia ya   Inaendelea Kuhamasisha Vilabu na Wepenzi wa Mchezo wa...
14/10/2024

Kuelekea Siku ya Bonanza Siku ya Tarehe 20 Oct 2024 Familia ya Inaendelea Kuhamasisha Vilabu na Wepenzi wa Mchezo wa Mbio za Pole , Kuendelea Kujipanga na Kufanya Maandalizi ya kutosha Kwa Maana Mambo yatakuwa Mengi na Michezo ya Aina Mbalimbali Ikiwemo Mpira wa Miguu kwa Vilabu vya Jogging Na Kutafutwa Miss Jogging kwa Mwaka 2024
Bonanza Kubwa na la Kihistoria Litakalofanyika Msasani Club, tarehe 20 Oct 2024 Wapenzi wa Michezo Tujitokeze kwa Wingi Bila Kukosa

Tuendelee kuwa Karibu na Page zetu kwa Updates Tofauti tofauti.
- FACEBOOK
- INSTAGRAM
UPDATES - YOUTUBE

Pole Sana Dada yetu ZUBEDA MUSA kwa Msiba mzito wa Mzazi wako Mungu Akutie Nguvu na Imani kwenye Wakati huu Mgumu Uyo ni...
13/10/2024

Pole Sana Dada yetu ZUBEDA MUSA kwa Msiba mzito wa Mzazi wako Mungu Akutie Nguvu na Imani kwenye Wakati huu Mgumu Uyo ni Mwanachama wa Amefiwa na Baba yake Mzazi Msiba Uko Mbagala Mission

Baadhi ya Picha za Matukio Muda huu kwenye Makaburi ya Mwanamtoti Mbagala Kwenye Mazishi ya Baba Mzazi wa Mwanachama wa ...
13/10/2024

Baadhi ya Picha za Matukio Muda huu kwenye Makaburi ya Mwanamtoti Mbagala Kwenye Mazishi ya Baba Mzazi wa Mwanachama wa Zubeda Musa


Baadhi ya Matukio na Hali ya Mazingira yalivyo Msibani Muda huu
13/10/2024

Baadhi ya Matukio na Hali ya Mazingira yalivyo Msibani Muda huu


Baadhi ya Viongozi kutoka kwenye Vilabu Mbalimbali vya Jogging waliojitokeza kwenye Msiba wa Baba Mzazi wa Zubeda Musa a...
13/10/2024

Baadhi ya Viongozi kutoka kwenye Vilabu Mbalimbali vya Jogging waliojitokeza kwenye Msiba wa Baba Mzazi wa Zubeda Musa ambae ni Mwanachama wa


TAARIFA MUHIMUAmkafitness Club Wanawaalika Viongozi wote wa Idara ya Habari kutoka kwenye Vilabu vyao vya Jogging tofaut...
10/10/2024

TAARIFA MUHIMU

Amkafitness Club Wanawaalika Viongozi wote wa Idara ya Habari kutoka kwenye Vilabu vyao vya Jogging tofauti tofauti Kushiriki kwenye Jambo lao na Hii ni Muhimu Sio ya Kukosa kwa Wana Habari wote wa Vilabu


Address

Ubungo
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jogging Updates posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share