LyGomedia

LyGomedia 🎨 Graphic Design | πŸ“Έ Photography | 🎀 Interviews | πŸ“± Content Creation | πŸ–¨οΈ Printing & Branding
Inspire β€’ Inform β€’ Create

Katika hali isio ya kawaida LyGomedia imefika huku kwenye mapenzi ya kina na  wafuatiliaji wake .Ni level mpya kidunia k...
03/07/2026

Katika hali isio ya kawaida LyGomedia imefika huku kwenye mapenzi ya kina na wafuatiliaji wake .

Ni level mpya kidunia k**a record iliowekwa na wapenzi hawa hadi kufikia kilele ya mnara .

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Vipi wako anaweza kufanya au mnaweza kufanya kilichofanywa na wawili hawa?!

02/07/2026

Mafanikio hayaji kwa bahati. Yanajengwa na akili inayofikiri kwa ubunifu, maamuzi sahihi, na nidhamu ya kusimamia malengo kila siku. Smart thinking hukupa mwelekeo, lakini discipline ndiyo inayokufikisha kwenye matokeo unayoyatamani.

Focus HardWorkPaysOff DreamBig StayCommitted PersonalDevelopment MindsetMatters SuccessJourney JoelMedia Novio PareBoy

28/06/2026

✨ KESHO NDANI YA LyGo Spotlight!
Kila safari ina mwanzo, kila changamoto ina somo, na kila ndoto ina nafasi ya kutimia.
Kesho nitakuwa Special Guest kwenye LyGo Spotlight, nikizungumza na Host Micky kuhusu safari yangu, changamoto nilizopitia, na jinsi ya kuendelea kusimama pale wengi wanapoamua kukata tamaa.
K**a unatafuta motisha, matumaini, na sababu ya kuendelea kupigania ndoto zako, hii interview ni kwa ajili yako.
πŸ—“οΈ Kesho πŸŽ™οΈ Host: Micky πŸ‘€ Guest: Godfrey Dismas (Founder, LyGoMedia)
Usikose! Kuna kitu kinaweza kubadilisha mtazamo wako.
Hope SuccessJourney Tanzania CreativeJourney

25/06/2026

πŸŽ™οΈ JE, NI NINI KINACHOWAFANYA BAADHI YA WANAFUNZI WA VYUO KUWA NA MASPONSOR?
Katika mahojiano haya, mwanafunzi wa chuo anazungumzia baadhi ya sababu zinazotajwa mara kwa mara kuhusu uwepo wa mahusiano kati ya wanafunzi na watu wazima wenye uwezo wa kifedha, maarufu k**a "masponsor". Miongoni mwa sababu zinazotajwa ni changamoto za kifedha, gharama za maisha ya chuo, shinikizo la kuendana na maisha ya kisasa, pamoja na hamu ya kupata mahitaji na vitu ambavyo wengine huenda wasingeweza kuvipata kwa urahisi.
Suala hili limeendelea kuwa mjadala mkubwa katika jamii, huku watu wakilitazama kwa mitazamo tofauti. Wapo wanaoamini kuwa hali ngumu za maisha ndiyo chanzo kikuu, huku wengine wakiona kuwa maamuzi binafsi na ushawishi wa mazingira pia vina nafasi kubwa.
Je, wewe una maoni gani kuhusu jambo hili? Unadhani ni sababu zipi hasa zinazowasukuma baadhi ya wanafunzi kuingia katika mahusiano ya aina hii?
Tazama mahojiano haya, sikiliza maoni ya mwanafunzi huyu, kisha shiriki mtazamo wako kwenye sehemu ya maoni.
πŸ‘‡ Tuambie unafikiria nini kuhusu suala hili.
StudentLife Tanzania CampusTalk Discussion TrendingTopics

πŸŽ‰πŸ† HONGERA SANA, DAIMON MWAKIGOWE! πŸ†πŸŽ‰LyGoMedia inatoa pongezi za dhati kwa Daimon Mwakigowe kwa kuibuka mshindi na kucha...
24/06/2026

πŸŽ‰πŸ† HONGERA SANA, DAIMON MWAKIGOWE! πŸ†πŸŽ‰

LyGoMedia inatoa pongezi za dhati kwa Daimon Mwakigowe kwa kuibuka mshindi na kuchaguliwa kuwa Rais wa DARUSO UDSM 2026/2027.
Ushindi huu unaakisi imani, matumaini na sauti ya wanafunzi waliokuchagua kuongoza safari mpya ya uwakilishi na maendeleo ya wanafunzi.

Tunakuombea hekima, ujasiri na mafanikio katika kutekeleza wajibu huu mkubwa kwa maslahi ya wanafunzi wote.

✨ Kura zimeongea.
✨ Wanafunzi wameamua.
✨ Uongozi mpya umeanza.

Hongera Mheshimiwa Rais!

TheCampusHasSpoken

Address

LyGomedia
Dar Es Salaam
16106

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LyGomedia posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share