05/03/2025
Mpaka kufikia hatua hii unaweza kabisa,ila asikudanganye mtu,biashara hii inalipa zaidi usipoanza jumla,yaani usitake uwe na fremu,uwe na nguo aina zote,anza kuuza online kwanza ili usife na presha,ukishapata jina online,ndo uangalie audience yako ipoje kisha ndo ufungue alafu utaongeza kimoja baada ya kingine!!🥰🥰
Kila la kheri wapambanaji