
09/08/2025
Sisi binafsi tunamshukuru sana Mwenyezi Mungu, tumefanikiwa kumaliza mwaka mzima wa kazi tarehe 24, juni 2025.
Na pia tumeweza kuwahudumia watu wa Mungu kwa nakala mbalimbali na tafakuri za kila siku.
Tuna furaha kubwa na vitabu tulivoweza kuandaa na tuna shauku kubwa sana kuanza kuvisambaza HIVI KARIBUNI!
wewe je?