IBUN ABED Online TV

IBUN ABED Online TV Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from IBUN ABED Online TV, TV Channel, Kisarawe, Dar es Salaam.

KARIA ATOA MSIMAMO OMBI LA YANGA.RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amesisitiza kuwa ni jambo la b...
24/12/2024

KARIA ATOA MSIMAMO OMBI LA YANGA.
RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amesisitiza kuwa ni jambo la busara na hekima kuheshimu katiba inayoziongoza klabu zote nchini zilizopo chini ya mwamvuli wa shirikisho hilo.

Karia ameyasema hayo akijibu hoja iliyotolewa na Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu kisha kuungwa mkono na Rais wa Yanga, Hersi Said ikimtaka aendelee kusalia madarakani kwa kipindi kijacho.

Viongozi hao waliyasema hayo wakiwa kwenye mkutano wa kawaida wa TFF uliofanyika Desemba 21, mwaka huu, Moshi mkoani Kilimanjaro ambapo hoja yao kubwa ilikuwa ni namna Karia uongozi wake ulivyo na tija kwa timu za Taifa ikiwemo Taifa Stars, timu za vijana na kwa upande wa wanawake kuendelea kufanya vizuri.

Akijibu hoja hiyo alipozungumza katika Mkutano Mkuu wa Coastal Union uliofanyika ulioambatana na uchaguzi mkuu wa klabu hiyo, Karia alisisitiza kuwa ni muumini anayeheshimu na kufuata katiba inayowaongoza huku pendekezo hilo lisichukuliwe kimihemko kwani bado muda wake wa uongozi haujaisha, vinginevyo wasubiri kutangazwa kwa uchaguzi na Mkutano Mkuu ndio utaamua.

โ€œHivi karibuni kwenye mkutano wetu wa kawaida wa TFF walizungumza na kusikika viongozi wa timu za Simba na Yanga kuhusu mimi kuendelea kuongoza, lakini niseme tu kwamba muda wangu haujafika mwisho na wala uchaguzi haujatangazwa.

โ€œKama watu wanamtaka Karia wasubiri uchaguzi utakapotangazwa. Lazima katiba tuziheshumu na twende katika utaratibu ambao unakubalika,โ€ alisema Karia ambaye tayari kwa sasa ni rais wa TFF kwa awamu ya pili akibakiwa na mwaka mmoja katika uongozi wake.

Wakati huohuo, mwenyekiti aliyemaliza muda wake ndani ya Coastal Union, Steven Mguto alisema kwa sasa hakuna anayeweza kuvaa viatu vya Karia kuiongoza TFF, hivyo ni vyema kiongozi huyo akaendelea na nafasi hiyo.

โ€œTunampongeza sana rais wa TFF kwa namna ambavyo analiongoza shirikisho letu. Katika kipindi chake chote kumekuwa na mafanikio makubwa kwa Taifa letu. Timu zetu za Taifa zinaendelea kufanya

KIKOSI CHA MNYAMA LEO
15/12/2024

KIKOSI CHA MNYAMA LEO

14/12/2024

BARUA KWA AKINA MAMA WOTE.

KWANI NANI MKUBWA??
13/12/2024

KWANI NANI MKUBWA??

Si vyema siku ipite bila kudondosha wishing kwa wanyama hawa. Muenjoy siku yenu miamba ya kazi
12/12/2024

Si vyema siku ipite bila kudondosha wishing kwa wanyama hawa. Muenjoy siku yenu miamba ya kazi

Wanafunzi wa vyuo vilivyopo Dar es Salaam na Wanasimba droo ya Simba University Bonanza kesho itakuwa saa 6 mchana kupit...
12/12/2024

Wanafunzi wa vyuo vilivyopo Dar es Salaam na Wanasimba droo ya Simba University Bonanza kesho itakuwa saa 6 mchana kupitia Crown Media.

"Timu yetu ni bora kuliko timu nyingine yoyote kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, timu yetu imeimarika sana. Mwanas...
12/12/2024

"Timu yetu ni bora kuliko timu nyingine yoyote kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, timu yetu imeimarika sana. Mwanasimba inabidi ujivunie timu yako maana ubora wa kikosi unaongezeka siku hadi siku."- Ahmed Ally.

_*Kwa Emoji Moja Hapa Umeipokeaje Kauli Ya SEMAJI LA CAF?*_

Kwani kwa majirani kuna nini???๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
12/12/2024

Kwani kwa majirani kuna nini???๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

12/12/2024

KUSUBSCRIBE

12/12/2024

KUSUBSCRIBE

Address

Kisarawe
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when IBUN ABED Online TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category