Dengah MEDIA TZ B

Dengah MEDIA TZ B “Michezo & Burudani | Taarifa za uhakika | Trending Stories”

07/06/2026

MSHAHARA KUCHELEWA SIKU NNE KATIKA TAASISI NAYO NI HABARI-AHMED ALLY



#

07/06/2026

ZIMEVUJA!!! WACHEZAJI,BENCHI LA UFUNDI PAMOJA NA WATENDAJI WA SIMBA SPORTS CLUB HAWAJALIPWA MISHAHARA YAO.

"Sioni sababu ya watu kumshambulia mtu kwa kusema wachezaji wa Simba hawajalipwa mishahara wakati amepata taarifa kwenye...
06/06/2026

"Sioni sababu ya watu kumshambulia mtu kwa kusema wachezaji wa Simba hawajalipwa mishahara wakati amepata taarifa kwenye chanzo chake, k**a huamini kwenye kile ambacho ameandika basi na wewe tafuta uthibitisho ila usianze tu kumlalamikia mtu bila sababu za msingi

Inawezekana kweli hawajalipwa, hizi timu zetu tunazijua wakati mwingine wanaweza kukanusha taarifa hata k**a ni ya kweli."

🗣Alex Ngereza kutoka TV3

06/06/2026
Nipo hapa Kuwathibitishia nimezungumza na baadhi ya wachezaji baada ya Kuona taarifa ya nassibmkomwa_wamenihakikishia Wa...
06/06/2026

Nipo hapa Kuwathibitishia nimezungumza na baadhi ya wachezaji baada ya Kuona taarifa ya nassibmkomwa_wamenihakikishia Wamelipwa tangu Jana na hawadai hata Senti Kumi.

Shalom Salam Alaikum.

🗣Wilson Oruma aka Mzee wa Jambia

Hii baada ya taarifa kutoka kuwa wachezaji wa Simba hawalipwa hivyo klabu inapambana kuwalipa kabla ligi haijarejea.

TAARIFABaada ya kutimiza ahadi ya kuleta Irizar Tajiri joerwegasira sasa ana mpango wa kununua Ndege ya klabuIfahamike k...
05/06/2026

TAARIFA

Baada ya kutimiza ahadi ya kuleta Irizar Tajiri joerwegasira sasa ana mpango wa kununua Ndege ya klabu

Ifahamike kuwa Ndege haikua kwenye ahadi zake ila chenji imebaki kwenye Irizar

Tayari mchakato umeshaanza ameshawasiliana na Viwanda kadhaa vya kutengeneza Ndege anasubiri atumiwe picha na Bei ili afanye manunuzi

Nyuma Mwiko nimewapa taarifa mapema ili muanze kujifunza kuhusu Ndege ikifika mchambue ni Used au kin'gwasu

HII NDIO ITAWAUMA SANA

🗣Ahmed Ally

Kwa sasa Simba wana timu bora zaidi kiwanjani kuliko Yanga kutokana na uwezo wao wa kuzuia na kufunga magoli. Ukiangalia...
05/06/2026

Kwa sasa Simba wana timu bora zaidi kiwanjani kuliko Yanga kutokana na uwezo wao wa kuzuia na kufunga magoli. Ukiangalia matokeo ya mechi 15 za mwisho kwenye mashindano yote, Simba wanaonekana kuwa na consistency nzuri zaidi kuliko Yanga.”

🗣️ Hans Rafaeli kupitia kipindi cha Crown Sports cha Crown FM.

Je, unakubaliana na Hans Rafaeli kuwa Simba SC ni bora zaidi kuliko Young Africans SC?

Address

Kariakoo
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dengah MEDIA TZ B posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dengah MEDIA TZ B:

Share