26/04/2026
Hongera nyingi kwa Ibrahim Classic kwa ushindi mkubwa wa ugenini! 🥊🔥
Umeonyesha moyo wa chuma, nidhamu na kipaji cha hali ya juu—u
meipeperusha vyema bendera yetu 🇹🇿
Endelea kupambana, ushindi wako ni fahari kwa taifa zima! 💪👏