17/06/2026
The old is gold, mnaikumbuka the medallion,jeshi la polisi lilipokea taarifa juu ya mtoto aliyekuwa ametekwa na kufichwa maeneo ya bandari wakalazimika kwenda kufanya ukombozi, miongoni mwa askari hao alikuwa ni JACKIE CHAN
JACKIE CHAN alifanikiwa kumpata mtoto huyo aliyekuwa amefungiwa ndani ya contena Moja,Lakini bahati mbaya kabla hajatoka contena hilo lilitupwa baharini baada ya kufungwa na watekaji
Baada ya contena kuzama JACKIE alifariki baada ya kumsaidia yule mtoto kupitia kifaa kimoja Cha msaada kilichokuwa ndani ya hilo contena
Kumbe Sababu ya mtoto huyo kutafutwa mala kwa mala na manyamela chini ya kiongozi wao SNAKEHEAD dogo alikuwa na medali iliyokuwa na uwezo Wa ajabu
Medali hiyo ilikuwa na uwezo Wa kurudisha wafu,kumfanya mtu aishi milele, kumfanya mtu asidhurike,lakin sharti ni kwamba lazima mtoto huyo mteule akukabidhi ndio utakua na huo uwezo wote...
Ndio maana wazee Wa ngwasuma walikua wakimuhitaji sana mtoto huyo ili wapate huo uwezo...
Kutokana na wema aliofanyiwa yule dogo na JACKIE CHAN aliamua kumrudishia Maisha kupitia Ile medali na JACKIE akarudi kuwa hai na kuwa mtu asiepigika na mwenye uwezo Wa ajabu...
Kama tumjuavyo JACKIE hajawai acha vituko hata humu ndani hasa baada ya kupata huo uwezo ,lakin bado waliendelea kuandamwa maana JACKIE alipewa medali nusu na nusu ikabaki kwa yule mtoto...
Movie hii na nyingine nyingi tunazo Whatsapp 0653755609 Bei sh 1000, iliyo tafsiriwa pia ipo,link ya kutupata Whatsapp ipo sehemu ya coment...