Sospeter Ilagila7

Sospeter Ilagila7 Back up account

-Hawa Watanzania wenzetu wako wapi kwani...?
26/09/2026

-Hawa Watanzania wenzetu wako wapi kwani...?

-Utazame vizuri huu mkeka...Nilipoweka mashaka ndipo game zimeisha kwa sare...Nicheck Whatsapp 0744088549 nikuunge kweny...
26/09/2026

-Utazame vizuri huu mkeka...Nilipoweka mashaka ndipo game zimeisha kwa sare...Nicheck Whatsapp 0744088549 nikuunge kwenye group letu la Wawekezaji Serious

"...Jezi ni mbaya hata aisifie nani"Waziri Paul Makonda
24/09/2026

"...Jezi ni mbaya hata aisifie nani"

Waziri Paul Makonda

23/09/2026

Hilo neno "Waache" k**a umezidiwa huwa linakera sana...🤣🤣

-Wakati wewe ukisubiri ligi zirudi sisi tunaendelea kutengeneza pesa 🔥Nicheck 0744088549 (Whatsapp) nikupe Ofa ya kujiun...
23/09/2026

-Wakati wewe ukisubiri ligi zirudi sisi tunaendelea kutengeneza pesa 🔥

Nicheck 0744088549 (Whatsapp) nikupe Ofa ya kujiunga nasi...zingatia neno LEO

-Klabu ya Kagera Sugar imemtangaza Kocha Cedric Kaze kuwa kocha wake Mkuu akulimrithi Juma Kaseja aliefutwa kazi hivi ka...
21/09/2026

-Klabu ya Kagera Sugar imemtangaza Kocha Cedric Kaze kuwa kocha wake Mkuu akulimrithi Juma Kaseja aliefutwa kazi hivi karibuni.

Cedric Kaze amewahi kufundisha Yanga ya Tanzania akiwa na Nasreddine Nabi na baadae Kaizer Chiefs na Sekhukhune zote za Afrika Kusini

✍️Sospeter Ilagila

-Hii picha ilipigwa Jumatatu ya March 14,2016 (miaka 10 iliyopita) wakati huo aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul...
19/09/2026

-Hii picha ilipigwa Jumatatu ya March 14,2016 (miaka 10 iliyopita) wakati huo aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda alipozindua ujenzi wa Jengo la upasuaji hospitali ya Mwananyamala, ujenzi uliofadhiliwa na GSM Foundation.

Pichani wa kwanza kushoto ni Mhandisi Hersi Said kutoka GSM aliesimamia mradi na wa pili kutoka kushoto ni aliyekuwa mwakilishi wa kampuni ya GSM Deogratias Ndejembi ambaye kwa sasa ni makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Masaa machache baadae Paul Makonda aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na miezi mitatu mbele Deogratias Ndejembi aliteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kongwa (July 7,2016).

Kipindi hiki Paul Makonda na familia ya GSM walikuwa na ukaribu mkubwa sana....

Sijui kilitokea nini urafiki wa Mheshimiwa Makonda na GSM ukafikia hatua ya kutoelewana mpaka kushtakiana...

:
-Tuheshimiane kwasababu hakuna anaeijua kesho yetu...Wakati Paul Makonda akiwa Dc wa Kinondoni, Ndejembi alikuwa mfanyakazi wa GSM ambapo kwa wakati huo GSM alikuwa rafiki mkubwa wa Paul Makonda...Kuna msemo unasema rafiki wa Boss wako ni Boss wako pia maana yake hapa Makonda alikua Boss wa Ndejembi...Leo hii Ndejembi ni Boss wa Makonda!

Hapa tunajifunza kuwa hata aliye chini yako anaweza kuwa Boss wako...ukipata nafasi ya kumuongelea mtu wa chini yako kwa Boss wenu jitahidi kumuongelea vizuri maana hujui kesho yake na kesho yako pia itakuwaje!

Lakini pia tunajifunza kuwa marafiki pia kuna muda wanatofautiana...Usijiachie saana!

Mwisho Maisha ni mzunguko na watu ni walewale...

✍️Sospeter Ilagila

-Ukimtazama Neo Maema anavyocheza sasa hivi huwezi kuwashangaa wanaomvumilia Doumbia kipindi hiki ambacho hafungi.K**a S...
17/09/2026

-Ukimtazama Neo Maema anavyocheza sasa hivi huwezi kuwashangaa wanaomvumilia Doumbia kipindi hiki ambacho hafungi.

K**a Steve Barker asingekuwa jeuri Neo Maema huenda asingekuwepo Simba sasa hivi...

Mashabiki wakati mwingine huwa wanachangia sana kuharibu timu na viwango vya wachezaji

-Mara ya mwisho Simba kushinda mechi 5 za kwanza ilikua msimu wa 2019/20 Kocha akiwa Patrick Aussems na baadaye Sven Van...
16/09/2026

-Mara ya mwisho Simba kushinda mechi 5 za kwanza ilikua msimu wa 2019/20 Kocha akiwa Patrick Aussems na baadaye Sven Vandenbroeck baada ya Aussems kutimuliwa alipotolewa na Ud Songo ya Luis Miquessone.

Wachezaji waliopo sasa ambao walikuwepo msimu huo ni Shomary Kapombe na Clatous Chama pekee...wengine kina Shiboub, Kahata, Deo Kanda na wengine...

Msimu huo Simba walikuwa mabingwa kwa kukusanya alama 88 kwenye mechi 38 ambapo walishinda mechi 27.

Msimu huu mpaka sasa wameshinda mechi 6 mfululizo...wamecheza mechi ngumu tayari dhidi ya Azam Fc na Singida Black Stars...mechi ijayo watakutana na Yanga!

K**a Simba atashinda dhidi ya Yanga maana yake atakaa kileleni kwa tofauti ya alama 3 na atakuwa kwenye nafasi nzuri ya kutwaa Ubingwa kwasababu misimu kadhaa iliyopita alikua anakwama mapema sana.

Je, Simba bingwa...? Tusubiri Tuone

✍️Sospeter Ilagila

-Leo Feisal akimuwamba Makofi Libasse tunamuingilia...atakua amezoea sasa 🤣
16/09/2026

-Leo Feisal akimuwamba Makofi Libasse tunamuingilia...atakua amezoea sasa 🤣

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sospeter Ilagila7 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share