volizimtv

volizimtv Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from volizimtv, Media/News Company, dar es salaam, Dar es Salaam.

KUBWA KULIKO! NIFFER APEWA UBALOZI RASMI NA WIZARA YA SANAA NA MICHEZO ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟMfanyabiashara na influencer maarufu, Jenifer J...
30/09/2026

KUBWA KULIKO! NIFFER APEWA UBALOZI RASMI NA WIZARA YA SANAA NA MICHEZO ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Mfanyabiashara na influencer maarufu, Jenifer Jovin ametangaza kupokea taarifa njema na nzito kutoka Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo, ambapo amekabidhiwa rasmi jukumu la kuwa Balozi.

"Mwanzo nilikuwa najitolea k**a influencer au Mzalendo, lakini sasa nimekabidhiwa rasmi hili jukumu," alisema Niffer.

SWIPE LEFT โฌ…๏ธ โฌ…๏ธ โฌ…๏ธ

PRIYANKA CHOPRA - โ€œNAOGOPA KUPOTEZA MUDA WANGU TENA NA WATU WASIO NA THAMANI KWANGUMwigizaji na mwanamitindo Priyanka Ch...
30/09/2026

PRIYANKA CHOPRA - โ€œNAOGOPA KUPOTEZA MUDA WANGU TENA NA WATU WASIO NA THAMANI KWANGU

Mwigizaji na mwanamitindo Priyanka Chopra amesisitiza umuhimu wa kuchagua watu wanaokuzunguka, akieleza kuwa wakati mwingine kuwa peke yako ni bora kuliko kuwa na watu wanaokunyima amani.

Kauli hiyo imeibua mjadala kuhusu mahusiano na urafiki, hasa pale mtu anapobaki kwenye mazingira yasiyomjenga kwa sababu tu anaogopa kuwa peke yake.

Kwa Priyanka, kuondoka kwa baadhi ya watu hakumaanishi umepotezaโ€”wakati mwingine ni kujilinda, kutafuta amani na kujipa nafasi ya kuwa wewe mwenyewe. โค๏ธโ€๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ‘‰ WEWE UNGECHAGUA KUWA PEKE YAKO AU KUWA NA WATU WANAOKUNYIMA AMANI? ๐Ÿ‘€

comment ya Diamond platnumz kwenye post ya rayvanny Akiwa na Muimbaji wa nyimbo za injili Upendo Nkone baada ya Rayvanny...
30/09/2026

comment ya Diamond platnumz kwenye post ya rayvanny Akiwa na Muimbaji wa nyimbo za injili Upendo Nkone baada ya Rayvanny Kupost nakuandika wamwache mama yake nakuendelea kwakusema washindwe nawalegee ๐Ÿ˜…๐Ÿ™Œ

SWIPE LEFT โฌ…๏ธโฌ…๏ธโฌ…๏ธ

BABA AMEMSHANGAZA MPENZI WA BINTI YAKE KWA KUMPA NAFASI YA KUPATA UZOEFU WA FERRARI  ๐ŸŽ๏ธโค๏ธTrevor Campbell amekuwa gumzo m...
30/09/2026

BABA AMEMSHANGAZA MPENZI WA BINTI YAKE KWA KUMPA NAFASI YA KUPATA UZOEFU WA FERRARI ๐ŸŽ๏ธโค๏ธ

Trevor Campbell amekuwa gumzo mtandaoni baada ya kumshangaza mpenzi wa binti yake kwa kumpa nafasi ya kuendesha/kupanda Ferrari nyekundu ๐Ÿ˜๐ŸŽ๏ธ

Kijana huyo anatajwa kuwa mshabiki mkubwa wa magari ya kifahari, hivyo familia ikaamua kumfanyia surprise ambayo hakutarajia. Trevor alishiriki picha zao pamoja na Ferrari hiyo, na chapisho hilo likavuka views milioni 10 mtandaoni ๐Ÿ”ฅ

Kitendo hicho kimeonekana kugusa wengi, huku baadhi wakisema ni aina ya ukaribisho ambao boyfriend hawezi kuusahau kirahisi ๐Ÿ˜‚โค๏ธ

WEWE UKIPEWA SURPRISE YA NAMNA HII NA BABA WA MPENZI WAKO, UNGEFANYA NINI ? ๐Ÿ˜‚๐ŸŽ๏ธ๐Ÿ‘‡

Usisahau kufollow kurasa zetu VOLIZIM TV

Beaute Skin by Me njoo uone Huku ๐Ÿ˜…๐Ÿ™Œ
29/09/2026

Beaute Skin by Me njoo uone Huku ๐Ÿ˜…๐Ÿ™Œ

Si juzi Tu katoka kusifiwa ๐Ÿ˜… Beaute Skin by Me
29/09/2026

Si juzi Tu katoka kusifiwa ๐Ÿ˜… Beaute Skin by Me

NIFFER AONESHA NGUVU YAKE MITANDAONI ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‘‘Mfanyabiashara Jenifer Jovin ameonesha nguvu kubwa ya ushawishi baada ya kuhamas...
29/09/2026

NIFFER AONESHA NGUVU YAKE MITANDAONI ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‘‘

Mfanyabiashara Jenifer Jovin ameonesha nguvu kubwa ya ushawishi baada ya kuhamasisha Watanzania kumpigia kura Jihanda Mack, anayewakilisha Tanzania kwenye Miss Grand International. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Kampeni hiyo imefikia hatua kubwa, huku chapisho likifikisha 1 MILIONI ya comments, 192K likes, 70.4K reposts na 315K shares! ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ“ฒ

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Tanzania imeamka kwa ajili ya Jihanda! ๐Ÿ‘‘

Tuendelee kusupprt kampeni Hiyo kwakushare kulike kucomment na kurepost kwenye kurasa za ๐— ๐—ถ๐˜€๐˜€ ๐—š๐—ฟ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ ๐—œ๐—ป๐˜๐—ฒ๐—ฟ๐—ป๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ผ๐—ป๐—ฎ๐—น

28/09/2026

Elewa neno Kumi na moja ๐Ÿ˜† Beaute Skin by Me

Beaute Skin by Me umemona Mke halali Wa Naseeb lakini ๐Ÿ˜…
28/09/2026

Beaute Skin by Me umemona Mke halali Wa Naseeb lakini ๐Ÿ˜…

MKAO HUU UNAWEZA KUKUSAIDIA MWILI KUWA FLEXIBLE ZAIDIInaitwa Wide-Legged Forward Fold, mkao unaolenga zaidi kunyoosha ma...
28/09/2026

MKAO HUU UNAWEZA KUKUSAIDIA MWILI KUWA FLEXIBLE ZAIDI

Inaitwa Wide-Legged Forward Fold, mkao unaolenga zaidi kunyoosha mapaja, nyonga na mgongo wa chini, huku pia ukiushirikisha mwili wa kati (core).

FAIDA KUU ZA ZOEZI HILI ๐Ÿ‘‡

Kuimarisha Misuli
Linajenga nguvu kwenye miguu, tumbo, viuno na mgongo.

โ€ข Mzunguko wa Damu
Kwa sababu kichwa kinakaa chini ya moyo, linasaidia kuongeza mzunguko wa damu kwenda kichwani.

โ€ข Mfumo wa Mmeng'enyo
Linasaidia kukandamiza tumbo kwa mbali na kuboresha mfumo wa chakula na umeng'enyo.

โ€ข Kupunguza Msongo wa Mawazo (Flexibility) Linakaza na kukunjua ututi wa mgongo na kuongeza unyumbulifu mwilini.

Wataalamu wanashauri kuufanya kwa utulivu bila kulazimisha mwili kwenda chini zaidi. ๐Ÿง˜โ€โ™‚๏ธ

โš ๏ธ ANGALIZO:
K**a una shida ya mgongo, shingo, shinikizo la damu (blood pressure), au tatizo la mshipa, hakikisha unapata ushauri wa daktari au kocha kabla ya kulifanya kwa nguvu.

Ungependa kujaribu mtindo huu nyumbani leo? Dondosha comment yako hapa chini! ๐Ÿ‘‡

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when volizimtv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share