
14/08/2025
Do you remember the say that says " whenever you feeling like stuck look back" ?!..
Progress haipimwi kwa kuangalia mtu mwingine , influencers only au marifiki bali ni kujiangalia wewe mwenyew ...
Both in Life and Fitness as well
Jiangalie ulikuwa wapi week , miezi au miaka hapo kabla hicho ndo kipimo sahihi cha maendeleo ...
It Thrive Thursday | TBT - Through Back Thursday.
It's me - Your accountable partner in Fitness
Coach Nasri | Tanzanian Lad
Cc : A.M FITNESS GYM
📍 TEGETA , WAZO HILL
Dar Es Salaam, Tanzania 🇹🇿
STILL GROWING 🙏🏾