04/08/2026
Karibu sana wew mkazi wa Dar es saalam katika kongamano hili ambalo litafanyika kanisa la Movement Gospel of chosen (MGC) .Njoo wewe ambaye umekata tamaa kwa Magonjwa , Laana, na umaskini utakutana na mtumishi wa Mungu Lukuta P Mjeshi atawahudumia watu wa dini zote na kuwaombea Bure kabisa
ποΈποΈ : Tarehe 06/08/2026
β°β°: Kuanzia saa kumi na nusu jioni hadi saa moja usiku
ππ: 0794110980
Tupo Temeke kwa Azizi ali, Bank club
Watu wa dini zote mnakaribishwa πππ
Mungu akutie nguvu ili uweze kufika