21/07/2026
KATAWA TV tunakuletea orodha ya wanawake wa Tano bora kwa mwaka 2026 na wamefanya vizuri sana na kila mwezi wa 7 tutakuwa tunatoa orodha mbalimbali za watu na taasisi zilizofanya na waliofanya vizuri kwa mwaka husika kwenye burudani|michezo| wanamitindo na biashara.
Tunaanza mwaka huu 2026 na miaka ijayo ndani ya Katawa Tv na hawa ndio wanawake wa Tano bora Tanzania kwa 2026.
1.Diana Rutagalinda mwaka 2026 umekuwa bora kwake na kufanya vizuri kwenye mashindano ya urembo na semina mbalimbali nchini.
2.Meena Ally mwana habari ameshika tasnia ya michezo,burudani na shughuli maalumu k**a mshereheshaji na amesimama na kila fursa inayojitokeza kwenye tasnia ya burudani,michezo na kwenye uandishi wa habari yeye ndio huwa Chaguo la kwanza.
3.Aaliyah ♡ mrembo na mwanahabari aliyeshika vyombo vya habari na kushika tasnia ya burudani na kushiriki kwenye shughuli za burudani.
4.The African Princess msanii wa k**e namba mmoja wa afrika mashariki na umalkia wake unazidi kukuwa na kuendelea kujiongezea wafuasi na uhodari kwenye muziki wake,biashara na familia yake k**a mama na mke wa bill has.
5.Paula Paul kati ya malkia waliozaliwa miaka ya 2000 (Genz) uwezi acha kumtaja na ameweza kuijua na kutumia nguvu ya mitandao na uhodari kwenye mitandao,utengenezaji mahudhui na mitindo.
✍️: