
12/04/2025
IBRA: NATONGOZWA SANA NA WATU MAARUFU
_
Mwanamuziki kutoka label ya Konde Gang Ibrah ameweka wazi kuwa anapitia wakati mgumu sana kwenda mitandaoni ya kijamii kwani amekuwa akitakwa kimapenzi na mastaa wengi wa k**e.
"Sipendi kabisa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mtu maarufu, Ila nimekuwa napata DM nyingi za watu maarufu wakinitaka kimapenzi.'- Amefunguka Ibrah.
Toa maoni yako hapa_________________________
•
•
•
•
•
•
This page doesn’t support any kind of violence and I mean it since I followed up the community guidelines