Kaka Abdul

Kaka Abdul Facebook wanalipa pesa 🇹🇿

Facebook sponsored

+255680188875

Tangaz biashara na Mimi upate wateja!

usisubilie kanzu ziishe ndipo ukakumbuka kuwa huna kanzu, Anza kuweka hata buku3 au 5 Kwa siku tajili YanguBei ya mkubwa...
20/02/2026

usisubilie kanzu ziishe ndipo ukakumbuka kuwa huna kanzu,

Anza kuweka hata buku3 au 5 Kwa siku tajili Yangu

Bei ya mkubwa ni kuanzia 55,000/= mpak 150,000/=

Bei ya mdogo kuanzia 30,000/= ukichukua kuanzia 5 bei inapungua,

wale wanaotaka sare inabidi utoe taarifa kabla ya siku1 ili zitafutwe hizo sare

kwenye picha bei za kanzu ni tofauti tofaut hazina bei Moja ni kutokana na quality na materials ya kanzu

Tunapatikana msikiti wa mtoro Kariakooo

contact for call +255789165235

WhatsApp +255680188875

karibuni sana

18/02/2026

Karibu ujipatie huduma ya line za uwakala popote ulipo Tanzania,
ukiwa ndani ya Dar es salaam unafuatwa mpaka ulipo!
✍️🔞📱

10/02/2026

TRA sasa imerudi hewani kwa uzuri kabisa baada ya marekebisho, k**a ulikuwa unahitaji tin number wahi ujipatie Bure Kwa elf-5
✍️🧠

Popote ulipo Tanzania 🇹🇿 uHuduma hizi nazipata ukiwa umetulia kwako TU (HAKUNA HAJA YA KUONANA)(1) Tin number 5,000/=(2)...
28/01/2026

Popote ulipo Tanzania 🇹🇿 uHuduma hizi nazipata ukiwa umetulia kwako TU (HAKUNA HAJA YA KUONANA)

(1) Tin number 5,000/=

(2) Lipa Kwa simu Voda 10,000/=

(3) Lipa Kwa simu Airtel 5,000/=

(4) Lipa Kwa simu halotel 5,000/=

(5) Kurenew lesen ya biashara 15,000/=

(6) Kukata leseni ya biashara 20,000/=

(7) UWAKALA halotel 50,000/=

(8) Uwakala Airtel money 50,000/=

(9) Vifurush mitandao YOTE Kwa Bei ya Bure kabisa

(10) Kutengenezewa tangazoo la maneno upendalo ni 3000/=

(11)Kukuandikia proposal 5,000/=

(12) kulipwa na Facebook 5,000/=

(13) kurudisha Account iliyopotea 5,000/=

(14) Facebook kuwa page 5,000/=

(15) Facebook sponsored ads 5,000/=

(16)Kutangaziwa tangazo lako 10,000/=

(17) kupromote page 5,000/=

(18) kitabu cha machimbo 20,000/=

(19)kuwezeshewa Huduma ya vifurush vya sme bundles 5,000/=

(20) stickers tofaut tofaut 5,000/=

,




0680 188 875

BIASHARA 5 ZA KUFANYA KWA MTAJI WA 500,0001. Biashara ya Chakula (Vibanda vitafunwa)Unaweza kupika chipsi, maandazi, cha...
20/01/2026

BIASHARA 5 ZA KUFANYA KWA MTAJI WA 500,000

1. Biashara ya Chakula (Vibanda vitafunwa)
Unaweza kupika chipsi, maandazi, chapati, vitumbua au chakula cha mchana n.k
Mtaji unatumika kununua vifaa vya msingi + malighafi za siku za kwanza.
Faida hupatikana haraka kwa sababu ni bidhaa za matumizi ya kila siku

2. Duka la Vifaa vya Nyumbani (Household Items)
Nunua kwa jumla vitu k**a sabuni, mchele, sukari, chumvi, mafuta ya kupikia, tissue, viatu vya ndani, karatasi za foil, vikombe, mwiko, mpekecho, kikaruzio cha viungi, mifuniko ya sufuria, sufuria n.k.
Ukiweka kwenye rafu vizuri unaweza kuuza kwa faida nzuri kwa watu wa jirani na biashara kukua hadi kufikia viwango vikubwa

3. Urembo na Vipodozi Vidogo na chupi

Nunua lipgloss, mafuta ya ngozi, mafuta ya nywele, karatasi za kucha, hereni, bangili, mafuta ya watoto, na urembo wa aina nyingine sawa na mahitaji kwa watu unao walenga kuwa wateja wako
Hii inauzika sana kwa wanawake, faida zake ni za haraka ukijibidiisha kutafuta wateja na kutangaza biashara yako na chupi zinatoka haraka sana

4. Biashara ya Mavazi ya Mitumba
Kwa 500,000 unaweza kuchukua bale ndogo au kuchagua grade nzuri za gauni, suruali, sketi au nguo za watoto.
Ukiwapanga vizuri na kupiga bei nzuri, faida huwa mara mbili au zaidi

5. Juisi na Matunda
Nunua matunda kwa jumla kisha tengeneza juisi fresh, au uuze matunda.
Gharama ni ndogo, bidhaa inahitajika kila siku na faida ni ya haraka

20/01/2026

Lipa Kwa SIMU haloteli inakubali jina lolote, unapokea commission mwisho wa mwezi! baadae unaweza jikopesha pia!
KARIBU!
📱🔌🎥

20/01/2026

Lipa Kwa Simu YAS yenye jina lolote inatoka, unatoa pesa mara-3 Kwa siku mpka 10M bure na haukatwi hata thumni, karibuni sana!
💰✅

20/01/2026

Jitahidi Account yako ya Facebook iwe page, then iweke public ili ukipost machapisho Yako yaonwe na dunia
🌍✍️
karibu!

Ujinga mwengine unaoweza kuufanya Bro ni kugombania Mwanamke na Mwanaume mwengine au kujiingiza kwenye ushindani ili upe...
20/01/2026

Ujinga mwengine unaoweza kuufanya Bro ni kugombania Mwanamke na Mwanaume mwengine au kujiingiza kwenye ushindani ili upendwe.

Hapo sasa utaanza kupeleka zawadi ambazo zipo nje ya uwezo wako, utabeba Zege kutwa nzima jioni ikifika ukipewa ujira wako Elfu 15 unachomoa Buku 12 unaenda kumnunulia mchumba Chips Kidari.

Mchumba akitaka viatu boya wa kwanza kumpigia ni wewe, mapema tu unapeleka! Mchumba akitaka chochote jina la kwanza kulifikiria ni lako.

Bro hakuna shujaa wa Mapenzi katika huu ulimwengu, utafanya kila kitu na bado katika story zake na mashoga zake utahesabika k**a lofa flani tu.

Huo ni upuuzi wa mwisho.

Mwanamke akiwa wako hatokubali kukuingiza kwenye mashindano na mtu mwengine, atafanya kila kitu kwako kionekane rahisi.

Bro akianza drama za kusema natangozwa na Wanaume wengi, mimi mzuri, Wanaume wenzako wengi tu wananitaka lakini nimekuchagua wewe maana yake ni kuwa yupo na wewe kwa sababu amekuonea huruma, kukuchagua wewe ni k**a tu amekupa msaada.

Tambua thamani yako Wanaume tuliumbwa kuchagua na sio kuchaguliwa, Wanaume wenyewe tunajitosheleza.

K**a baba yako angekuwa lofa k**a wewe leo hii usingezaliwa.

Acha kumpambania huyo manzi akikukataa futa namba, fanya k**a hakijatokea kitu, acha kujichekesha na kutuma vi Sms vya huzuni, Kausha.

Wallah tena nakupanga Wanawake hawana huruma kwa Mwanaume mjinga.

Address

Tandika
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kaka Abdul posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share