BAfrica news.

BAfrica news. Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from BAfrica news., Media/News Company, Dar es salaam, Dar es Salaam.

Taifa stars qualified to the quarter finals following the 2️⃣-1️⃣ win against Madagascar Top performance to Mzize with 2...
09/08/2025

Taifa stars qualified to the quarter finals following the 2️⃣-1️⃣ win against Madagascar
Top performance to Mzize with 2 goals ⚽⚽on nets🔥🔥

Another 3 important points to the Tanzanian national team  🇹🇿 today. Beating mauritania at Benjamin Mkapa stadiumMaurita...
07/08/2025

Another 3 important points to the Tanzanian national team 🇹🇿 today. Beating mauritania at Benjamin Mkapa stadium
Mauritania🇲🇷 0️⃣-1️⃣🇹🇿Taifa stars. Shomari kapombe with the goal⚽

Taifa Stars🇹🇿 2️⃣-0️⃣ 🇧🇫Burkina Faso. Sopu and Mohamed Hussein with the nets. Taifa Stars at the top of Group B.
02/08/2025

Taifa Stars🇹🇿 2️⃣-0️⃣ 🇧🇫Burkina Faso. Sopu and Mohamed Hussein with the nets. Taifa Stars at the top of Group B.

The Chan tournament is on from today, a fantastic opening in Tanzania🇹🇿🙌🔥
02/08/2025

The Chan tournament is on from today, a fantastic opening in Tanzania🇹🇿🙌🔥

Now Lamine Yamal is number 1️⃣0️⃣ on his Jersey
16/07/2025

Now Lamine Yamal is number 1️⃣0️⃣ on his Jersey

Kwa msimu huu Madrid hawafui dafu kwa Barcelona🔥🔥 wajaribu msimu ujao labda. Ilikuwa fainali nzuri sana kuitazama na has...
12/05/2025

Kwa msimu huu Madrid hawafui dafu kwa Barcelona🔥🔥 wajaribu msimu ujao labda.
Ilikuwa fainali nzuri sana kuitazama na hasa kwa mashabiki wa Barcelona walioshinda mchezo. Tatu za Madrid zote zimafungwa na Kylian Mbape (hat trick)⚽⚽⚽

Mnyama anaendelea kutafuna viporo vyake. Uteja unaendelea kwa vijana wa kinondoni. 🦁🔥🔥
11/05/2025

Mnyama anaendelea kutafuna viporo vyake. Uteja unaendelea kwa vijana wa kinondoni. 🦁🔥🔥

Katika Hali ya kushangaza Leo nchi imepoteza mwana habari nguli kabisa wa muda wote. Mr Charles Hillary ambaye aliwahi k...
11/05/2025

Katika Hali ya kushangaza Leo nchi imepoteza mwana habari nguli kabisa wa muda wote. Mr Charles Hillary ambaye aliwahi kufanya kazi katika shirika la habari Tanzania TBC, BBC ya nchini London lakini pia kwenye kituo Cha habari Azam media kabla ya kuteuliwa kuwa mkuu wa idara ya mawasiliano ikulu ya Zanzibar. REST IN PEACE GOAT.

Je? Rais Donald Trump alijua Papa mpya atatoka Marekani?? Una maoni gani kuhusu Trump?? Tupe maoni Yako hapo katika uwan...
09/05/2025

Je? Rais Donald Trump alijua Papa mpya atatoka Marekani?? Una maoni gani kuhusu Trump?? Tupe maoni Yako hapo katika uwanja wa comments👇👇

Kardinali mzaliwa wa Chicago nchini Marekani 🇺🇲 Robert Francis Prevost amechaguliwa kuwa kiongozi wa kanisa katoriki dun...
09/05/2025

Kardinali mzaliwa wa Chicago nchini Marekani 🇺🇲 Robert Francis Prevost amechaguliwa kuwa kiongozi wa kanisa katoriki duniani katika kanisa la Sistine ambapo maelfu ya waumini walikuwa wakisubiria kushuhudia upatikanaji wake. Amechagukua kutumia jina la PAPA LEO XIV.

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BAfrica news. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share