Mustafa Shujaa

Mustafa Shujaa Photo Journalist

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akikagua mitambo mbalimbali ya umeme wa Gesi mara baada ya...
10/07/2025

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akikagua mitambo mbalimbali ya umeme wa Gesi mara baada ya kutembelea Kituo cha kuzalisha umeme cha Kinyerezi Julai 10, 2025 jijini Dar es salaam

Mbunge wa Jimbo la Bukombe Dkt. Doto Biteko(kulia) akipokea fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Bukombe 2025-2030 kutoka kw...
29/06/2025

Mbunge wa Jimbo la Bukombe Dkt. Doto Biteko(kulia) akipokea fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Bukombe 2025-2030 kutoka kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Bukombe Ndugu Leonard Mwakalukwa leo Juni 29, 2025 katika Ofisi ya CCM Wilaya

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakifuatilia kwa makini hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tan...
27/06/2025

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakifuatilia kwa makini hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 27 June, 2025 Bungeni jijini Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge la 12...
27/06/2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 27 June, 2025 Bungeni jijini Dodoma

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akifuatilia kwa makini hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muunga...
27/06/2025

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akifuatilia kwa makini hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 27 June, 2025 Bungeni jijini Dodoma

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko (katikati) akiongozana na Mwenyekiti wa Super Star Group o...
25/06/2025

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko (katikati) akiongozana na Mwenyekiti wa Super Star Group of Company na Mkurugenzi wa SSF Bwana Seif Ally Seif(kulia) na kushoto ni Mwenyekiti na Mkurugenzi Total Energies Afrika Bwana Jean Philippe Torres wakati wa maadhimisho ya miaka 30 ya ushirikiano kati ya Kampuni ya Super Star Fowarders (SSF) na Total Energies yaliyofanyika Juni 25, 2025 jijini Dar es salaam

25/06/2025
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akiongozana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nisha...
24/06/2025

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akiongozana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko walipokuwa katika viunga vya Bunge Juni 24, 2025 jijini Dodoma

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amefungua rasmi Kongamano la Kumi la Utafiti wa Kilimo, Li...
23/06/2025

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amefungua rasmi Kongamano la Kumi la Utafiti wa Kilimo, Lishe na Afya (ANH 2025) kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Ufunguzi huo umefanyika leo Juni 23, 2025 katika Ukumbi wa Mikutano wa JNICC jijini Dar es salaam

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Nishati wa Ur...
22/06/2025

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Nishati wa Urusi, Mhe. Sergey Tsivilev kuhusu kuimarisha ushirikiano katika sekta ya nishati na maeneo mengine muhimu ikiwemo teknolojia na uwekezaji.

Mazungumzo hayo kati ya Dkt. Biteko na Mhe. Tsivilev yamefanyika kando ya Jukwaa la Kimataifa la Uchumi St. Petersburg nchini Urusi. Juni 20, 2025

DKT. BITEKO ASHIRIKI JUKWAA LA KIMATAIFA LA UCHUMI NCHINI URUSI Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto B...
20/06/2025

DKT. BITEKO ASHIRIKI JUKWAA LA KIMATAIFA LA UCHUMI NCHINI URUSI

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameshiriki katika mdahalo wa Jukwaa la Kimataifa la Uchumi la St. Petersburg 2025 (SPIEF'25) lililofanyika 19 Juni, 2025 katika kituo cha Mikutano na Maonesho ExpoForum uliopo katika jiji la St. Petersburg nchini Urusi

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameshiriki katika hafla ya kupokea gawio na michango kutok...
10/06/2025

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameshiriki katika hafla ya kupokea gawio na michango kutoka kwa Taasisi na Mashirika ya Umma na Kampuni ambazo Serikali ina hisa zake

Hafla hiyo imefanyika leo Juni 10, 2025 Ikulu jijini Dar es salaam na kupokelewa na mgeni rasmi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mustafa Shujaa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mustafa Shujaa:

Share