Ngebe Media

Ngebe Media SPORTS •|• ENTERTAINMENT •|• NEWS •|• COMEDY •|• MOVIES

18/06/2026

Kwani alikuwa anawachukuliaje congo😂😂😂



Follow us👇👇media .media



.

18/06/2026

🇵🇹 na 🇨🇩 hakuna mbabe kati yao🤝 Wamegawana point1️⃣,1️⃣

🔥🔥

Follow us👇👇media .media



.

DRC wanasawazisha kupitia Wissa dakika za mwisho kipindi cha kwanza👏💪👏👏Ureno 1️⃣ -1️⃣ DRC⚽ Yoane Wissa 45+5'  Follow us👇...
17/06/2026

DRC wanasawazisha kupitia Wissa dakika za mwisho kipindi cha kwanza👏💪👏👏

Ureno 1️⃣ -1️⃣ DRC
⚽ Yoane Wissa 45+5'



Follow us👇👇media .media



.

Akina Ronaldo   🇵🇹 wapo tayari kuwakabili DRC 🇨🇩 Follow us👇👇media .media  EverythingIsOkay.
17/06/2026

Akina Ronaldo 🇵🇹 wapo tayari kuwakabili DRC 🇨🇩



Follow us👇👇media .media



EverythingIsOkay.

Jeshi la   la kuwateketeza Ureno🔥 Follow us👇👇media .media   .
17/06/2026

Jeshi la la kuwateketeza Ureno🔥



Follow us👇👇media .media



.

17/06/2026

Kocha mkuu wa Mbeya City FC, Salum Mayanga, amewataka mashabiki na wananchi wa Mbeya kutoikataa timu hiyo licha ya kushikilia mkia kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya NBC.

Mbeya City imepata alama 27 katika michezo 27 na bado ipo mstari mwekundu. Kocha Mayanga ametoa wito huo baada ya kupoteza 1-0 dhidi ya Simba SC dimbani Sokoine.

Amesema bado kuna michezo 3 iliyosalia ambayo timu inaweza kuitumia kujinasua:
1. vs Pamba - Ugenini, Juni 24
2. vs Dodoma Jiji - Ugenini, Juni 27
3. vs TRA United - Nyumbani, Juni 30

Kwa mujibu wa Mayanga, timu bado ina nafasi ya kujitoa kwenye mkondo wa kushuka daraja iwapo itachangamkia fursa hizo.

Follow us👇👇media .media



.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ngebe Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share