Michezo Tz

Michezo Tz Official page of Michezo Tz we make you proud. KARIBU KWA MATANGAZO
(1)

Kutoka YANGA Mpaka ligi kuu ya UingerezaAISHA MASAKA🙌🏽🙌🏽🙌🏽
10/09/2026

Kutoka YANGA Mpaka ligi kuu ya Uingereza

AISHA MASAKA🙌🏽🙌🏽🙌🏽

Kutoka Yanga Mpaka ulaya, Usimkatie mtu tamaaPichani ni Wachezaji wawili, Clara Luvanga na AISHA MASAKA waliotoka YANGA ...
10/09/2026

Kutoka Yanga Mpaka ulaya, Usimkatie mtu tamaa

Pichani ni Wachezaji wawili, Clara Luvanga na AISHA MASAKA waliotoka YANGA PRINCESS na sasa ni wachezaji ghali zaidi kwa upande wa wanawake.

Clara Luvanga kwasasa yupo Ligi kuu ya Marekani akisajiliwa kutoka Al Nasri ya Cristiano Ronaldo. Luvanga amesajiliwa kwa dau la karibia shilingi Billion 6 za Kitanzania nchini Marekani

Aisha Masaka Yupo Ligi kuu ya Uingereza katika Clabu ya BRIGHTON WOMEN📌📌

10/09/2026
08/09/2026

Mtag mtu yoyote Maarufu au Msanii, akikureply kuna 30,000 yako ya Vocha

Twende kazi😋😋

07/09/2026

Kuna zawadi ya 100,000 hapa kwa yeyote ambaye comment yake haitapata reply

😋😋😋😋😋

Kushinda ugenini sio Kwapa😁
06/09/2026

Kushinda ugenini sio Kwapa😁

Gaborone pamoja na kuroga na Kupaki Bus na Kupoteza muda, lakini bado wamepelekewa Moto🤣🤣🤣🤣Gaborone even with all that J...
05/09/2026

Gaborone pamoja na kuroga na Kupaki Bus na Kupoteza muda, lakini bado wamepelekewa Moto🤣🤣🤣🤣

Gaborone even with all that Juju, parking the bus and Wastage of time, but still got cooked 🤣🤣🤣🤣

Gaborone United Football Club Young Africans Sports Club TotalEnergies CAF Champions League & Confederation Cup

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Michezo Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Michezo Tz:

Shortcuts

Share