Malkia choice Fm

Malkia choice Fm Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Malkia choice Fm, Digital creator, mwai kibaki, Dar es Salaam.

Radio station
Chaguo La Malkia
Chaguo la Malkia 🇹🇿 102.5 Dar | 100.9 Tanga | 105.3 Bukoba | 99.5 Moshi | 102.5 Dodoma | 104.1 Kwanza | 99.7 Mbeya | 91.3 Mtwara | 106.1 Arusha | 103.1 Shinyanga |

14/09/2026

Wewe unawezaje kupokea ukweli unaokuuma kutoka kwa mtu anayekujali?

Cc



14/09/2026

Kazi inaweza kuwa na changamoto, mshahara usikutoshe au mazingira yakawa hayakupi furaha… lakini usikurupuke kuacha kazi bila kuwa na mpango wa kinachofuata.

Kabla hujaandika barua ya kuacha kazi, jiulize: Ukiamka kesho, unaenda wapi?

Ni bora kuanza kutafuta fursa nyingine ukiwa bado una kazi kuliko kuacha kwanza halafu kuanza kutafuta.

Wewe unaona ni busara kuacha kazi bila kuwa na kazi nyingine?
Cc



14/09/2026

Wanawake hawapaswi kuwa watazamaji wa mabadiliko—wanapaswa kuwa sehemu ya kuyaanzisha na kuyaongoza.

Wewe unaona ni eneo gani wanawake wanapaswa kuongoza mabadiliko zaidi?
Cc



14/09/2026

Je,ulikua unalifahamu hili?
Cc



14/09/2026

Je,hii ni sawa kwa walimu na nani anastahili kuwajibika?
Cc



14/09/2026

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, limemk**ata mwanamke mmoja anayedaiwa kutumika k**a abiria kukodi bodaboda na kuwaelekeza madereva kwenye maeneo ambako wahalifu wenzake walikuwa wakisubiri kwa ajili ya kutekeleza matukio ya uhalifu.

Mbali na mwanamke huyo wako pia wahalifu wengine sita ambao wamek**atwa kwa nyakati tofauti wakidaiwa kujihusisha na mtandao wa uhalifu unaohusisha matukio ya unyang'anyi wa kutumia silaha, mauaji na wizi wa pikipiki.

Cc



14/09/2026

Kulinda uti wako wa mgongo ni muhimu sana kwani ndiyo nguzo inayotegemeza mwili wako na kuunganisha ubongo na sehemu zote za mwili.

Cc



14/09/2026

Mamlaka za udhibiti wa mazingira (k**a vile NEMC nchini Tanzania) na za afya hushauri wananchi kuwa makini na vyanzo vya samaki wanaonunua sokoni.

Cc



11/09/2026

"Uhuru tiliopewa,tusiuchezee vibaya,"
Cc



11/09/2026

Mnakubaliana na kuwa muda sahihi wa shughuli ni saa sita,saba k**a imechelewa sana?

Cc



Address

Mwai Kibaki
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Malkia choice Fm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share