Wodi Ya Michezo

Wodi Ya Michezo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Wodi Ya Michezo, Digital creator, Dar es Salaam.

Wodi Ya Michezo ni ukurasa WA Michezo hususani mpira wa miguu,utakaokuletea taarifa mbalimbali kuhusu Michezo kwa wakati huo , ungana nasi kwa taarifa mbali mbali za Michezo Tanzania, Afrika na Duniani kote kwa ujumla, matusi dhihaka , kejeli haziruhisiwi

Bradley Barcola, Sasa ni mali ya majogoo wa Mersesyde,Liverpool wamemsaini mfaransa huyo kutoka kwa mabingwa wa Ulaya Pa...
31/08/2026

Bradley Barcola, Sasa ni mali ya majogoo wa Mersesyde
,Liverpool wamemsaini mfaransa huyo kutoka kwa mabingwa wa Ulaya Paris Saint Germain ( PSG)

Klabu ya Galatasaray imemtambulisha Rafael Leao k**a mchezaji wao mpya akitokea Ac Milan..   Mreno huyo alihudumu kwa mi...
30/08/2026

Klabu ya Galatasaray imemtambulisha Rafael Leao k**a mchezaji wao mpya akitokea Ac Milan..
Mreno huyo alihudumu kwa miamba hiyo ya Italia kwa muda wa miaka saba kabla ya kutimkia kwa miamba hiyo ya Uturuki..

Emiliano Martinez"Dibu" ametambulishwa rasmi na klabu ya Chelsea akitokea Aston Villa...
30/08/2026

Emiliano Martinez"Dibu" ametambulishwa rasmi na klabu ya Chelsea akitokea Aston Villa...

Kikosi rasmi cha Simba kitakachomenyana na Coastal Union , muda ni saa 19:00 kwa saa za Africa Mashariki..
27/08/2026

Kikosi rasmi cha Simba kitakachomenyana na Coastal Union , muda ni saa 19:00 kwa saa za Africa Mashariki..

Leon Goretzka amejiunga rasmi na Aston Villa akitokea Fc Bayern Munchen
27/08/2026

Leon Goretzka amejiunga rasmi na Aston Villa akitokea Fc Bayern Munchen

Omar Marmoush amejiunga na Tottenham akitokea Man city kwa mkopo kukiwa na kipengele cha kumnunua moja kwa moja kwa Ada ...
27/08/2026

Omar Marmoush amejiunga na Tottenham akitokea Man city kwa mkopo kukiwa na kipengele cha kumnunua moja kwa moja kwa Ada ya £82 million..

Ayoub Bouaddi ametambulishwa rasmi na Manchester city akitokea Losc Lille ya Ufaransa...
26/08/2026

Ayoub Bouaddi ametambulishwa rasmi na Manchester city akitokea Losc Lille ya Ufaransa...

Baleba Carlos , amejiunga Rasmi na klabu ya Manchester united akitokea Brighton kwa Ada ya £65million + 5 million k**a n...
25/08/2026

Baleba Carlos , amejiunga Rasmi na klabu ya Manchester united akitokea Brighton kwa Ada ya £65million + 5 million k**a nyongeza kwenye mkataba wa miaka 5, utakaodumu mpaka 2031 ..

Ezri Konsa Ngoyo , beki ya Kati raia wa Uingereza ametambulishwa rasmi na klabu ya Arsenal akitokea Aston Villa.. Ada ya...
21/08/2026

Ezri Konsa Ngoyo , beki ya Kati raia wa Uingereza ametambulishwa rasmi na klabu ya Arsenal akitokea Aston Villa.. Ada ya uhamisho wa paundi million 51

Aaron wan Bissaka ametambulishwa rasmi na Aston Villa kwa mkopo wa msimu mzima..
21/08/2026

Aaron wan Bissaka ametambulishwa rasmi na Aston Villa kwa mkopo wa msimu mzima..

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wodi Ya Michezo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share