05/07/2025
"Safari ya mafanikio haianza pale ulipo tayari, bali pale unapothubutu kuanza."
Usingoje kila kitu kiwe sawa. Anza sasa — kwa hatua moja ndogo, kila siku.
Hatua ya leo inaweza kuwa mwanzo wa mabadiliko makubwa kesho. 💪🏾
👉 Endelea kusonga mbele hata k**a huoni hatua kubwa leo — mwendo mdogo ni ushindi.